JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Wadau natoka Dar naelekea Arusha nko na Kilimanjaro Express, kama kuna mdau pande hizi humu au kwa gari nyingine iwe binafsi au ya abiria hebu tukutane anga hii labda tunaeza onana na kwa wengine...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Tarehe kama ya leo, ndio siku ambayo nilizaliwa na kuongeza idadi ya watu hapo Duniani. Si haba, namshukuru muumba kwa kunifikisha hapa nilipo. Pia nawashukuru wazazi wangu, mke wangu mpendwa...
9 Reactions
76 Replies
6K Views
Am a new member kwa jf:nmejikuta nawaza sana recently coz of life circumstances nmekutana nazo n kitu pekee nahitaj san ni marafiki wa kuchat nao,share topic thoughts etc kuavoid ile too much...
0 Reactions
104 Replies
5K Views
Jamani huyu ni kichaa waakili,namtafu kanitoroka humu jamvini.nilimuacha nimemfungia sehemu nikaenda kuongea na mods wanitafutie sehemu ya kumuifadhi kama vile kuanzisha jukwaa la vichaa lakini...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Kwa nini nakuwa na bahati ya kukutana na wanawake ambao hawaniheshimu? Shida ni nini .. Ama niwe natembeza kichapo siongelei wadada wa hapa chit chat and JF kwa ujumla ..
0 Reactions
38 Replies
2K Views
If you'r above 25 and u'r still living wit ur parents,Happy children's day!!
0 Reactions
34 Replies
2K Views
Naingia kwenye profile yangu nakutana na lawyer amegoma kushangilia leo, Upande mwingine Speaker nae kaacha kutingisha kichwa, mbaya zaidi kwa Boflo, Zidane leo kaanguka yeye....lol Najaribu...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
...mjitahidi kuchunguza na msimu kabla hamjatuletea machungwa kutoka Segera. Sasa hivi machungwa yamemwagika mjini, mpaka sh.50 unapata tunda. Chondechonde wasafiri mnaokuja kwenye sendi ofu...
0 Reactions
29 Replies
2K Views
Mtoto mmoja kila akiulizwa jina lake alikuwa ana tabia ya kujibu, 'Mimi ni mtoto wa Mzee John'. Mama yake akamwambia,' Usiwe unasema hivyo, ukiulizwa sema naitwa Jane John'. bahati mbaya sana...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Aisee acha kabisa hii ni dansi ambalo orijinale lake liko Angola......
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mwenzenuu, usiku leo silali, Nateseka usingizi sipati huwa nabaki nahangaika, Kuyasema yote, ninayaona siwezi, yasije yakaleta, udadisi kwa watu bure… Shahidi yangu ni mama watoto, yeye...
2 Reactions
36 Replies
6K Views
Nliamini wakak wa chit chat kwel ni waoga, yan ile post ya kuntokea wote walikimblia kwenye pm badil ya live.. sijapata mshindi ata mmoja ila junior. Cux ndo kidogo alionyesha moyo wa ushindan...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Kapokea tigopesa yako kimakosahataki kukurudishia,unaiblock asitoe,kumb kaend na tax kaambiwa blocke,anasema si ungesema
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Utakuta mtu ameshajua kuwa saint ivuga wa JF ni nani anazunguka zunguka kuambia watu kuwa fulani ndio SI .mwanaume mzima kidomodomo cha nini? Si ukaushe unawashwa na nini? tukitaka kujulikana kwa...
3 Reactions
45 Replies
3K Views
Anadai waimba gospel hawapendani!
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wadau wa Kagongwa Kahama - Shy tuwekeeni picha ya hako kamji ka Kagongwa! Hiloo wee ulijua tayari mtu kisha pata ajali eeh... Weka yako?! Unafurahi kuona wenzako wako kwenye majanga...
0 Reactions
17 Replies
8K Views
Nimeona tangazo la uchumba pahala likanistaajabisha. Mambo yaliyonishangaza kwenye tangazo lile ni sehemu ya mahari na hitaji la CV. Nanukuu "...mahari ndogo itaangaliwa...CV nzuri...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Wana JF wa jukwaa la Jokes and Udaku mpo kama mpo soma hapa urifresh you mind. Siku moja kichaa fulani wa pande za manzese aliamua kufunga safari akaangalie kaburi la Mwalimu Nyerere butiama...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Baba mimi ni mtoto wako wa ngapi?
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Siku hizi naona kama imepoa saana. Tangopori(banned)
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…