Bad Luck?

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
54,363
58,386
Kwa nini nakuwa na bahati ya kukutana na wanawake ambao hawaniheshimu? Shida ni nini .. Ama niwe natembeza kichapo
siongelei wadada wa hapa chit chat and JF kwa ujumla ..
 
Tembeza kichapo watakuheshimu...ila yawezekana nawe hujihehimu that's why nao...
 
Hicho kichapo ni bora uwachapenao by using Bakoranyama, lakini kichapo cha bakora hii ya kukata kwenye mti ?
Haiyumkini
tembeza bakorafinyango heshma itapatikana!
A'laaa!
 
Hicho kichapo ni bora uwachapenao by using Bakoranyama, lakini kichapo cha bakora hii ya kukata kwenye mti ?
Haiyumkini
tembeza bakorafinyango heshma itapatikana!
A'laaa!

Mkuu wangu ungejua usingesema hivi....hio bakora inatembea kwa zaidi ya 180 % sasa ndio natafuta mchawi bado
 
Back
Top Bottom