Matangazo mengine ya uchumba bwana!

kuku dume

JF-Expert Member
Apr 22, 2012
414
62
Nimeona tangazo la uchumba pahala likanistaajabisha.

Mambo yaliyonishangaza kwenye tangazo lile ni sehemu ya mahari na hitaji la CV.

Nanukuu "...mahari ndogo itaangaliwa...CV nzuri itakufanya uwe mke wangu...".

Jamani CV ni ya kazi gani hapa? Inamaana siku hizi kila kitu uzoefu?

Ndugu zangu ni wapi upendo wa kweli ulipo? ...nadhani upendo wa kweli hauangalii vitu.
 
wewe ndo unaona upendo wa kweli hauangalii vitu....CV muhimu
 
kumaanisha kutakuwa na interview ya 6x6 au??? Duh!

CV lazima kila mahali maana isiwe una CV nzuri kwa elimu lakini kunako 6x6 ni sifuri hatuwezi kaa na wewe maana utaingiza mshiko lakini kunako mjamboziiiiiiiiii mpaka nimkumbuke shosti wa juzi ndio nipate munkari
 
Back
Top Bottom