Mbona kama jf imepoa sana?

siunajua tena invisible kaifanya jf kama tanesco unaweza ukawa na mzuka ukifungua unakuta imekatwa??

mbona hawatupi taarifa wanamaliza nini huu utanesko? kweli bhana kwahiyo ppo zinakuwa zinaboreka...
 
Tangopori mtu wangu wa karibu sana.
Jana kuna uzi kaanzisha kule kwenye siasa unaosema 'nape kaanzisha mpya ya ccm. vua gamba vaa uzalendo.'
kuamka asubuhi kanipa story wamempa bann.
Sa sijui itakuwaje maana naona alikuwa kwenye mchakato wa kuwafukuzia lizzy,smile, na firstlady 1.
Au hizo mali za wakubwa wa jf?
Imebidi nimwambie aangalie asije akawa anapambana na wakubwa wa jf. lol!
 
Pole yake! Nami nimepata fundisho ukianzisha uzi unaotetea cicimu unapigwa banned.
 
Nimecheka Na eti kutangaza kuwafukuzia Lizzy, FL1 yaweza kuwa Mali ya Wakubwa, lohh kumbe hata JF loo.
 
Back
Top Bottom