Njia moja Arusha na KLM express

Njia moja Arusha na KLM express

Pinokyo Jujuman

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2012
Posts
552
Reaction score
105
Wadau natoka Dar naelekea Arusha nko na Kilimanjaro Express, kama kuna mdau pande hizi humu au kwa gari nyingine iwe binafsi au ya abiria hebu tukutane anga hii labda tunaeza onana na kwa wengine basi tunawaombeni mfanye maombi ya safari yetu"

Aksanteni kwa Maombi yenu bandugu nimefika salama,napambana na kibaridi cha huu mji.
 
Karibu sana A town! Jiji la kitalii Africa. Ukiwa mahali paitwapo picnic jaribu kusema umefika. Safari ya amani nakutakia
 
Teh tehe inaonekana wewe ni mgeni mwenyeji mpaka Mrina ushakujua haaaaah!!!!

Karibu sana Arusha, kwa zaidi niPM nikupe ramani yote.

Aksante bana, ni kweli mie huku ni mgeni mwenyeji, hapa navinjari pande za stand ndogo hapa
 
Oooh vyema siie tumeamsha Moshi

Nilipelekwa big L nimekosa ugali mshkaji kanipeleka Kenny Garden!dah!hii bar noma kuna mpaka maandazi halafu masufuria jikoni mengi sana!weather bab kubwa!...sifikirii kulala mwenyewe naogopa baridi!naambiwa kuna sungura tope pinpoint!nasubiri kupelekwa
 
owkaaay......
 
owkaaay......

Vipi preta hapafai nini?..mimi napenda sehemu kama corner bar sinza,kwa macheni au masai kinondoni!naambiwa pinpoint au babylon hapo ni pumzi zangu tu!bar za nje hili baridi litaniumiza!kesho ntaomba nipelekwe mitako bar!
 
Mzee wa juve atown kunani?...za TBS wakupeleke boogaloo kama sijakosea, huko walipokutajia mizoga tu siyo mademu viwango!
 
Back
Top Bottom