JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Je unaweza kutumia akili yako vizur? Hebu jaribu hii, babu na mjukuu wake walikuwa ni wafugaji wa njiwa. Siku moja walitaniana Mjukuu; babu nipe njiwa mmoja ili tuwe na njiwa idadi sawa...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Ajali kubwa imetokea muda huu maeneo ya mikocheni dsm baada ya gari dogo alilokuwa anaendesha sisimizi kugongana uso kwa uso na fuso lililokuwa linaendeshwa na siafu. Habari zinaeleza kwamba...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Niko foleni hapa kuna Makonde!nimetoka Posta toka mida ya Mbezi mpaka sasa hivi saa kumi sijafika!
0 Reactions
1 Replies
970 Views
Wakubwa Salama, Tarehe 30th June nitakuwa Beijing China. Kama kuna mwana JF yoyote naomba tuwasiliane kubadilishana mawili matatu. Its my first time getting into Beijing. Thanks BB
0 Reactions
9 Replies
1K Views
itv habari za saa... kijana hamisi amejinyonga jana jioni ktk hostel zilizopo makumbusho bila kuafha ujumbe ..... eeeh wasomi wa tanzaniaaa yetu jamani
0 Reactions
31 Replies
4K Views
am looking for a girl to chat with on my mobile phone
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Dearest Samantha, I am very happy to inform you that I have fallen in love with you since Tuesday, the 20th of June 2011. With reference to the meeting held between us on the 20th of June 2011...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
katoto kamoja baba yake Mbunge aliwahi kuckia kauli mtaani kuwa baadhi ya Wabunge wanaongea utumbo kule mjengoni. Akamuuliza dada ake ambaye ni mschana wa kazi hapo kwao!:Eti dada kuongea utumbo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamaa kaingia Bar; Jamaa: "Muhudumu, nipe kinywaji na mpe kila mtu humu ndani kinywaji, maana wakati napata kinywaji lazima kila mtu apate kinywaji." Haraka sana muhudumu akagawa vinywaji...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu,nipo mwanza kikazi na natafuta mahali pa kwenda kurelax mchana huu na kutoka usiku. Naombeni msaada wenu wenyeji wa maeneo ya kutembelea
0 Reactions
41 Replies
4K Views
du watu wa humu kwa kupenda umbea mmejaaliwa,haya tupeane udaku wa mjini.nini kimejili leo?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Tujikumbushe Kidogo wadau wa JF, siku ile ya Alhamisi ya tarehe 14/10/1999 mida ya asubuhi kama sikosei ulikuwa wapi na unafanya wakati Kifo cha baba wa Taifa kinatangazwa!
0 Reactions
30 Replies
2K Views
Hv unaweza kuta humu jf wanaoongoza kwa sredi za vituko na majibu ya hovyo hapa JF ni watu maarufu or viongozi wakubwa serikalini or mashirika ya dini or NGO's wanarelease stress. Kwa mfano Lizzy...
3 Reactions
213 Replies
11K Views
Madaktari bingwa kutoka tanzania,china na ujerumani walikutana kuelezea mafanikio ktk nchi zao. Akaanza daktari wa ujerumani akasema kwetu alizaliwa mtoto hana miguu tukamuwekea ya bandia na sasa...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Sasa naona ni wakati wangu kutoa tamko on what happened And what is the way forward... Yote yamebebwa na video hii: PS (of course all this is just chit chat, if it was real tungepeleka thread MMU)
5 Reactions
22 Replies
2K Views
chitchat siku izi haina mvuto kabisa...aaaaargh!!
0 Reactions
24 Replies
2K Views
Mrembo wa geti kali alipokea cmu ngeni na mambo yalikuwa km hivi: SIMU:Hellow una boyfriend? MREMBO:Ndio ninae,nani mwenzangu? SIMU:Mm babako kumbe una byfrnd!ukirud utantambua!cm ikakatika...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Jamani nimeamua kutafuta mchumba humu humu jf ila nimedhamiria kumpata kati ya hao wa3 NIPO TAYARI KUWA HATA SPARE TAIRI. Hata wanibwage ntakomaa hadi kieleweke kwani mvumilivu hula mbivu!!!
0 Reactions
47 Replies
3K Views
...nakumbuka my youth age.... Tamu kweli..
1 Reactions
34 Replies
3K Views
I thank Almight God, today am done!
1 Reactions
57 Replies
3K Views
Back
Top Bottom