Jamani nani kanionea mgonjwa wangu wa akili anaitwa "abui2012"namtafuta | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani nani kanionea mgonjwa wangu wa akili anaitwa "abui2012"namtafuta

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Ruhazwe JR, May 28, 2012.

 1. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #1
  May 28, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Jamani huyu ni kichaa waakili,namtafu kanitoroka humu jamvini.nilimuacha nimemfungia sehemu nikaenda kuongea na mods wanitafutie sehemu ya kumuifadhi kama vile kuanzisha jukwaa la vichaa lakini niliporudi sijamuona
  popote alipo onekana mnitaaalifu maana akili imefyatuka
   
 2. koplo

  koplo JF-Expert Member

  #2
  May 28, 2012
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 596
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 45
  Kapita mda sì mwingi
   
 3. cement

  cement JF-Expert Member

  #3
  May 28, 2012
  Joined: May 5, 2012
  Messages: 583
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Huyu kweli kichaa katoa kali ya mwaka kwa kweli!!!!!
   
 4. Bado Kidogo 2015

  Bado Kidogo 2015 JF-Expert Member

  #4
  May 28, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 207
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kweli lile ni chizi, kalitafute Mirembe ya JF ward inaitwa Ban utampata.
   
 5. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #5
  May 28, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  jamani kaelekda wap?...mkimuona nikamatieni
   
 6. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #6
  May 28, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,404
  Trophy Points: 280
  hv bado mods hawajampa haki yake?
   
 7. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #7
  May 29, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  jamani huyu mtu mmemuona?nasikia kaonekana jukwaa la siasa!sijui kaonekana wap!...kwa waliomuona amevaa au!
   
 8. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #8
  May 29, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 934
  Trophy Points: 280
  Mara ya mwisho nilimwona jukwaa la stress, vipi hujamwona tu?
   
 9. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #9
  May 29, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  sijamuana mkuu,wewe ulipo muona alikua kavaa kweli au alikua uchi....nzakali zote nje?
   
 10. ummu kulthum

  ummu kulthum JF-Expert Member

  #10
  May 29, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 2,791
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  atakuwa kaachwa tu,kwa maana vichaa wa mapenzi wengi humu af hawana tiba.
   
 11. MATESLAA

  MATESLAA JF-Expert Member

  #11
  May 29, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,252
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Kapita hapa muda si mrefu kasema anaelekea jukwa la mapenzi
   
 12. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #12
  May 29, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 934
  Trophy Points: 280
  Alikuwa amevaa full suti ya rangi ya udongo, imembana sana mwilini, afu tai iko usawa wa kiuno.
  Ila we kalale tu mkuu, si unajua hawanaga kesi wale hata wakigonga treni.
   
 13. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #13
  May 29, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  yupo kwenye recycle bin ya invizibo baada ya kumdhalilisha sijui lini atamrestore zaidi ya hapo sijui..
   
 14. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #14
  May 29, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  mkuu tatizo ni kwamba nahofia uhai wake humu jamvini maana naweza kumpoteza,kibaya zaidi kaondoka na sindilia ya shemeji yake madameB ,
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 15. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #15
  May 29, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  ngoja nikamuangalie,nikimkuta angalau nimpe sindano ya usingizi
   
 16. MATESLAA

  MATESLAA JF-Expert Member

  #16
  May 29, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,252
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Nani baba rizi???
   
 17. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #17
  May 29, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  teh!,teh!,teh!.....
   
Loading...