Andika hii sentensi kwa kiingereza..

Faza, how many your kid me..

hiki kingereza kimenikumbusha frm one.wakti tuko frm 1 tulikuwa na kibao kimeandikwa speak english always. Mwenye kibao angesema U HAVE SPOKEN KISWAHILI! Nawe ungejibu ME SAY?<mimi nimeongea>? DON'T!<HAKUNA>. Baada ya apo hauchangii kitu.ilikuwa burudan tosha!
 
Back
Top Bottom