Mnyama hatari....!

Akagando

JF-Expert Member
May 24, 2012
533
116
Wana JF wa jukwaa la Jokes and Udaku mpo kama mpo soma hapa urifresh you mind.
Siku moja kichaa fulani wa pande za manzese aliamua kufunga safari akaangalie kaburi la Mwalimu Nyerere butiama alipitia njia ya barabara lipitialo Serengeti,alitembea mwendo mrefu hivyo ikambidi apumzike porini katika kuangalia huku na huku alipokuwa amekaa akamuona Mfalme wa Pori yuko mbele yake,jamaa akasimama akamuuliza Simba "vipi kaka na wewe umeamua kuja kupumzika ili baada uendelee na mawindo"
simba akaendelea kuunguruma,jamaa kwa sababu alikuwa kajifunika sehemu ya nani kwa kitambaa,mara kitambaa kikadondoka simba kuona vile akakimbia jamaa naye kuona simba kakimbia naye akaanza kumbia kuelekea porini mbele akakutana Chui,chui kumuona jamaa akaanza kimbia,jamaa kuona wanyama wakimuona wanakimbia akaaza kuogopa na kumfanya aongeze spidi ya kumbia,
Chui alipokimbilia akakutana na Simba huku Simba akiwa amechoka.Chui akamuuliza Simba "kumbe nawe huwa unaogopa kuliwa"
simba akajibu"we unazani yule mnyama ni wamchezo,tangu niwinde humu pori sijawahi kuona mnyama wa hatari mwenye mkia mbele"
 
Back
Top Bottom