Pole sana, u r in the right place.
Konnie hujambo mama?
Am a new member kwa jf:nmejikuta nawaza sana recently coz of life circumstances nmekutana nazo n kitu pekee nahitaj san ni marafiki wa kuchat nao,share topic thoughts etc kuavoid ile too much thinking...I belive I got them all hapa kwa JF...thx guys
Dah sijapotea huwa nakuja kuchungulia bhana.....sijambo M'Jr, za kupotea?
Cute naomba kufotoa foto na wewe?ur welcome
Karibu,
ila ar u He+ or She+
jisikie upo nyumbani
me ni 'she'..
jiskie upo "kwetu"
Dah sasa utaona michango kibao hapa baada ya kuwaambia we ni sheme ni 'she'..
Dah sasa utaona michango kibao hapa baada ya kuwaambia we ni she
Kha we umesahau kama nakuja Mwanza tomorrow?Umekariri eh? Wengine tumetaka kujua ili tuhandle with care, nadhani unafahamu kuwa tushachumbiwa humu JF.