Maajabu ya JF leo!

Michael Scofield

JF-Expert Member
Jul 30, 2011
1,225
471
Naingia kwenye profile yangu nakutana na lawyer amegoma kushangilia leo, Upande mwingine Speaker nae kaacha kutingisha kichwa, mbaya zaidi kwa Boflo, Zidane leo kaanguka yeye....lol
Najaribu kuitingisha PC yangu sasa labda Klorokwini ataendelea kushangilia.....!

Invisible nimesikia anaumwa red eyes, hawezi kufinyafinya macho.
 
Naingia kwenye profile yangu nakutana na lawyer amegoma kushangilia leo, Upande mwingine Speaker nae kaacha kutingisha kichwa, mbaya zaidi kwa Boflo, Zidane leo kaanguka yeye....lol
Najaribu kuitingisha PC yangu sasa labda Klorokwini ataendelea kushangilia.....!

topic za humu ndani..kweli ndio mana inaitwa chit-chat
 
Ngoma hata kureply with quote mbinde
quote_icon.png
Saint Ivuga
hhaa a maiko kwema?
 
Back
Top Bottom