Mzee wa miaka 85 alimnyonya mkewe wa miaka 80 matiti kimapenzi.Mzee akafa. Kwenye Post mortem yake waliandika: DIED OF DRINKING EXPIRED MILK. BEST BEFORE 1955
Wakuu wa JF, wasalaam,
Nasikitika sana jinsi vyombo vya habari vina mwa-dress Mh. Luteni Jakaya Kikwete kama Dr. Jakaya Kikwete.
Hivi hata ukipewa u-doctor wa heshima ndio teyari hiyo prefix...
kwa kawaida wanaume huvaa chupi au boxa na skin tyt kwa ajil ya kubana nyeti zisichezecheze au kupwaya na kumletea tabu atembeapo ama kukimbia na kurukaruka kama vile kina ladies wavaapo sidiria...
Hi, vipi? Mbona Kimya kama J. Mo? Au uko Bize kama Jafary, au ni Mapozi kama Mr. Blu? Ama ni Mawazo kama J. Dee? Ni Beeb back basi kama Mike Tee, ili nipate kujua Uhali Gani kama Q-chif, au mpaka...
Kuna siku Pinda alienda kuzindua Mabwawa ya maji fugaji huko shinyanga aliposogelea bwawa akauliza hili Bwawa mumefuga MAMBA??watu kimya!!!Kumbe yeye alikuwa ameona kivuli chake mwenyewe!!!mkuu wa...
wadau wenye data, hebu tumwagieni hapa. cjui ni mhe. gani kaja yan folen kweli. saa nzima nipo kwenye daladala et twasubiri mh. apite. kha inabore kweli. . . .
Najaribu kufikiria kama Jamii forums ingekuwa inafanyika sehem ya wazi kama uwanja wa mpira au zaidi ya hapo na hapo kuna haya majukwaa mbali mbali kama ilivo sasa hivi na mtu unaruhusiwa...
A plane was about to crash. A man looked straight into his wife eye and said. MAN: honey i ve to confess to u dat i nailed ANITA our house help yesternight WIFE: honey, Mine is never an exception...
Mimi niliharibiwa sana na kitabu cha PANGA LA SHABA na mwanae UFUDU.
Nikatamani na mimi nikiwa mkubwa niwe mganga wa jadi ili nikamate wanawake wazuri na nipate mahela.
Ila nilikuwa naogopa sana...
Kwa wale wanaoangalia tv channel ya citizen ya wenzetu wa kenya, kuna kipindi kinaitwa NASWA looh yaani ni zaidi ya ze comedy , ni vituko vitupu nimependa ubunifu wao...........
Ni ukweli usiofichika kuwa social network imeweza kuondoa kabisa ile ya habari ya adults, usijali sana kuhusu jukwaa la wakubwa hapa JF, bali jaribu kuangalia njinsi mambo yanayokwenda.. Mfano NN...
Habari wana jf ndanda,nimeona niweke hii thread ili tujikumbushe ya kwetu ususani kwa sie ambao tuko mbali nyumbani nyakati hizi.Mie nakumbuka enzi zile kulikuwa na pahala panaitwa mkorosho haramu...
jamaa mmoja alishuka kwenye ndege bila suruali watu wakamuuliza "vipi mzee?'
akawajibu huku amekasirika"si huyo pilot wenu ana wazimu! mara vaa mkanda mara vua mkanda
nikaamua nivue na suruali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.