Guest house gani nzuri MBEZI YA KIMARA

Guest house gani nzuri MBEZI YA KIMARA

CHIEF MVUNGI

Member
Joined
Apr 6, 2012
Posts
99
Reaction score
15
nakuja Dar lakini nat
afuta guest house nje ya mji hususa mitaa ya Mbezi ipi nzuri na isiwe ndani sana
 
wewe sema una demu maeneo hayo!ukifika waulize vijana wa bodaboda au taxi drivers
 
Up Hill Forest - Temboni
Temboni Inn - Temboni
Halafu kuna nyingine ipo Mbezi Mwisho(Makondeni) barabara ya zamani kama unaenda kwa Yusuph jina nimelisahau lakini ukiuliza bodaboda,taxi driver au bajaj driver watakufikisha.
Zote hizo zipo karibu na barabara ya Morogoro.
 
Asante babu ulinzi si fresh?
 
Kimara mwisho inaitwa Kyauke nzuri sana full ac,dstv kwa 20,000/ tu kaka elekea hapo parking ipo poa kbs!
 
Back
Top Bottom