Siku Pinda alipoenda kuzindua bwawa na maji huko shinyanga.!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Siku Pinda alipoenda kuzindua bwawa na maji huko shinyanga.!!!

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by KakaKiiza, Jun 1, 2012.

 1. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #1
  Jun 1, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,541
  Likes Received: 2,239
  Trophy Points: 280
  Kuna siku Pinda alienda kuzindua Mabwawa ya maji fugaji huko shinyanga aliposogelea bwawa akauliza hili Bwawa mumefuga MAMBA??watu kimya!!!Kumbe yeye alikuwa ameona kivuli chake mwenyewe!!!mkuu wa wilaya ikabidi amwambie hapana mkuu hicho nikivuli chako kina reflect majini!!
   
 2. KML

  KML JF-Expert Member

  #2
  Jun 1, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 863
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  naona umejichoka mkuu
   
 3. Jimmysam

  Jimmysam Member

  #3
  Jun 1, 2012
  Joined: May 31, 2012
  Messages: 36
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hii hadithi ina2fundisha nn????
   
 4. Dennismakoi

  Dennismakoi Member

  #4
  Jun 4, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  haina maana yoyote ni ujinga tu
   
 5. Z

  Zimba Senior Member

  #5
  Jun 4, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 115
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kapwata wee!! Unakalia akili.
   
 6. mseseve

  mseseve JF-Expert Member

  #6
  Jun 4, 2012
  Joined: Apr 3, 2011
  Messages: 518
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  shenxxxx kumtusi kiranja mkuu wa kaya ye2
   
 7. Sunshow

  Sunshow JF-Expert Member

  #7
  Jun 4, 2012
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 943
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  aaahaaa mbona hatucheki!
   
Loading...