Nani ananipenda?

sikia mwanamke ni mlaini sana inabidi apendwe an wala sio kupigwa
 
nani ambaye hana raha kwenye ndoa?nimekuja na suluhisho
 
karne hii sio ya kupigwa ama kunyanyaswa kwenye ndoa..njoo nikupe tulizo la moyo
 
najua kila siku unapigwa ila jua kuwa suluhisho lipo
 
anarudi kila sikua akiwa amelewa ...na kukukaripia bila sababu za msingi
 
najua mwanzoni alikuwa anakupenda sana , anakuthamini sana ila baada ya kuoana mapenzi yote yakaisha
 
nani kakuambia kuwa ndoa ni ndoano? ndoa ni kama koti likkubana unalitupa kule ..mambo ya kizamani yamepitwa na wakati
 
najua alikuwa anawahi kurudi kutoka kazini ila baada ya wewe kuzaa akaanza kuchelewa na kukupa visingizio kibao...
 
mwanamke yoyote ana haki ya kupata raha katika ndoa na katika maisha yake yote
 
mwanamke hapigwi kama unapigwa bila sababu za msingi jua kuwa wewe haupo kwenye right place
 
mshahara wa mwanamke ni wake na mshahara wa mwanaume ni wa familia kama ulikuwa hulijui hili ndio ukae ukijua hivyo
 
najua ulikuwa huna hata alama moja ila sasa hivi una alama kibao kutokana na kipigo na manyanyaso
 
Back
Top Bottom