mwanza leo inaboa!

CharmingLady

JF-Expert Member
Apr 16, 2012
18,250
12,868
wadau wenye data, hebu tumwagieni hapa. cjui ni mhe. gani kaja yan folen kweli. saa nzima nipo kwenye daladala et twasubiri mh. apite. kha inabore kweli. . . .
 
Dah poleni sana
Sisi Arusha tumeachana na ugeni walau pako shwari ila Hali ya hewa ndio imekuwa BARIDI ya hatari tangu asubuhi
Hapa naangalia ustaarabu wa kwenda kushtua kandofu mahali
 
thnx b52, yan hii misafara inaboa kweli. haya enjoy urself. . . mwenzio moyo mpweke laadhidhi sobhuza anatumikia ban!
 
Huku Moshi ni shughuli, Mh Bilal alikuwepo jana kufungua wiki ya Mazingira, kesho anakuja JK kufunga! Kila idara pilika kibao kesho watumishi wote wanatakiwa uwanjani. Hii kali huko hospitali ya mkoa wametangaziwa wote wawepo uwanjani, huduma sijui itakuwaje
 
Dah me nimetulia huku hata sijajua huo ugeni.
The unseen is illustrated by the seen.
 
thnx b52, yan hii misafara inaboa kweli. haya enjoy urself. . . mwenzio moyo mpweke laadhidhi sobhuza anatumikia ban!
Hahahahaa pole sana charminglady
Njoo kwangu uwe figa la 9 bado kuna nafasi walau utulie hadi atakapotoka kifungoni
Hahahahaaa karibu sana kuwa huru Chaguo ni lako
 
Last edited by a moderator:
Huku Moshi ni shughuli, Mh Bilal alikuwepo jana kufungua wiki ya Mazingira, kesho anakuja JK kufunga! Kila idara pilika kibao kesho watumishi wote wanatakiwa uwanjani. Hii kali huko hospitali ya mkoa wametangaziwa wote wawepo uwanjani, huduma sijui itakuwaje

pole sna mum, ndo sirikali yetu!
 
Back
Top Bottom