Kertel
JF-Expert Member
- May 11, 2012
- 5,736
- 5,683
Habari wana jf ndanda,nimeona niweke hii thread ili tujikumbushe ya kwetu ususani kwa sie ambao tuko mbali nyumbani nyakati hizi.Mie nakumbuka enzi zile kulikuwa na pahala panaitwa mkorosho haramu ambapo palikua maharufu kwa biashara ya samaki mchanga na yule mbuzi wa kikatoliki,vipi we wakumbuka nini hebu tupia yako hapa