5years nimekuwa teja wa hii ki2 iitwayo punyeto a.k.a puchu,kupiga mawe n.k na kila nilipokuwa najaribu kuaacha nilikuwa nashidwa lkn day1 baada ya kupiga nilijickia vibaya na nikawaza kweli hii...
Straight to the Point:
Kaniambia hivi wikend,
"Mentor am sorry, you are a passionate lover but am a rough ryder..."
Sasa iyo ndo sababu kweli ya kuachana?
Kant zea be some negotiations...
UONGO MWINGINE HATA HAUFAI....
Jamaa: Unasoma?
Demu: Hapana sisomi, vipi wewe unasoma?
Jamaa: Ndo nipo kidato cha nne Jangwani.
Demu: Jamani hiyo si shule ya wasichana?
Jamaa: Aaah...
Mapacha walipenda kula kuku na chips, siku moja pacha wa kike akamwambia wa kiume "kuku wameniambukiza manyoya" yule wa kiume akamwambia nionyeshe, wa kike akanvulia kufuli akaona vinywele...
Jamaa m1 alikua ameathirika kwa upigaji nyeto. Siku moja akapata dem wakawa wamepanga kungonoka. Dem akatia timu geto kwa jamaa akiwa amejiandaa kwa gem. Walipoanza "jogoo" la mshkj likagoma...
umeenda kwa mganga ili akusaidie kumpata demu unayempenda kisha anakupa masharti haya
''leta kucha za huyo binti alizokata kwa meno,nywele zake za kwapa na harufu yake. Nenda ukalete sabuni yake...
Yaani nimeishi kwa matatizo makubwa sana weekend hii maana simu zangu zote ziligoma kufanya kazi, sijui kama ilikuwa ni huko mitaa ya kwangu tu au kote! Ki modem changu nacho kikagoma kufanya...
Wana jf kuna wa2 wanalala mika sana wa2 wakiandika maneno wameyafupisha au hayajanyooka vizuri, kuchapia, kuandika kinyumenyume nk, ukumbi wao huu hapa,
nikianza na ww poha nina ciiju, humboja...
Samahanini kama si mahala pake, me hki kitu kinanichanganya, husika na kichwa cha habari, mfano me naitwa Mary Andrew Katundu, nimeolewa na Richard Moses Mkumbukwa, je itabidi niitwe Mary Richard...
Watu wakienda ulaya wanasema wanaenda UNYAMWEZINI wakati unyamwezini ni Tabora.
Wazungu au wabongo wenye swaga za kizungu wanaitwa WANYAMWEZI hata kama ni Wafipa au wangoni n.k.
Mzigo mzito mpe...
Wana jf habari zenyu bana, hebu tujuzane nini maana ya username yako na ilikuwaje ukajiita hivyo,mfano-kiziwi,kongosho,mbumbumbu -maranyingi wana jf huwakosoa kwausername zao mfano kiziwi...
jaman pamoja na kuomba ushauri humu...JF imekuwa ni burudisho, elemisho, hamasisho, huzunisho, n.k...lakini hatujawah jitokeza na kukili wazi ni topic au thread imewah kukusaidi hapa jf.....nianze...
Devi alichelewa kujiunga na chuo, hivyo alipofika akakuta kuna kitanda kimoja tu kimebaki katika chumba ambacho kulikuwa na mwanachuo ambae wenzake wote waligoma kulala nae chumba kimoja, maana...
Nianze na mimi kama ilivyo ada...siku moja asubuh nimepanda daladala toka mbezi kuelekea posta nikiwa nimesimama huku mikono kwenye chuma, nikahis kupga chafya, kabla sijafanikiwa kutoa leso...
Sijui mikoani ikoje
but kwa dar huwezi katishamitaa bila kuona mwanamke kavaa nguo hii
ni rangi tu ndo wanatofautiana.....utasema 'zinagaiwa bure somewhere'
sasa kwa wadada wa jf labda mtueleze...
Devi kaenda kwa mtabiri akamuangalie mambo yake.
Mtabiri akamwambie Devi afungue mkono ausome;
Mtabiri: Una watoto wawili
Devi: Hapo umebugi step nina watoto watatu
Mtabiri: Wewe ndio umebugi...
A man went to sell his dog. A buyer asked him, Is this dog faithful?
The man replied, Yes,I have sold him 3 times but he returns to me.
kwa jokes zahidi fungua frank johnson jokes/ ENJOY JOKES
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.