Hodi Iringa....

YNNAH

JF-Expert Member
Dec 6, 2011
1,702
969
Wakazi wa Iringa mpoo? Nategemea kuja huko mwishoni mwa wiki hii. Nipokeeni mgeni wenu
 
hahhaha umenikumbusha,kihesa,mkimbizi,gangilonga,frelimo,ilala....wasalimie bana....usiende mtwivila huko usafiri mgumu balaa
 
karibu hapa mtwivila.

Alafu wewe unajificha sana, hebu tukutane Shooters this weekend basi tumpokee mgeni. Tupeane dressing codes thru PM basi ikiwezekana locations siku ya tukio sawa Mdada??

Usiogope siwezi kuji-handsamisha sawa??
 
hmm nilizan utasema kalenga!
 
Nitavaa jinsi ya blue, na top ya kijani kata mikono.

Hapo hovyo mkuu, tena kama mwanaJF mwenzangu nakushauri usifikie hapo pamechoka na service hazijatulia. Tena kuna vijiuizi siku hizi. Ni PM uwezo wako per night nikuelekeze sehem zilizotulia. Hapo shooters tutaenda for dinner, drinks and chatting, later we can go for clubing if you guys like (though sio kivile clubing but ndio kilichopo tuna-enjoy)

Karibu Iringa.
 
utampeleka twistaz au v.i.p?
 
Wakazi wa Iringa mpoo? Nategemea kuja huko mwishoni mwa wiki hii. Nipokeeni mgeni wenu

kuna jamaa zangu walienda field ilula, walipofika vijana wakawaambia daah! Afadhali mmekuja tusaidiane kugawana ukimwi, wale jamaa waliondoka bila kuzoeana na mtu yeyote! Take care.
 
So unanishauri nije kimya kimya na kuondoka kimya kimya? Mi nataka kupokewa na members wa jf bwana.
 
Watoto wa iringa wala hawajui kuringa, we ukifika unawachukua unaoa wataka.

Afu usikose kutembelea sehemu za njombe, aaa njombeeeee...bora ni nyamaze tu..
 
Iringa Ipi?Unajua ISMANI,TANANGOZI,MBALA MAZIWA NAZO NI IRINGA.Kama ni Iringa Municipal, karibu Gangilonga, twisters muhimu kwenda kupal,
 
Nitavaa jinsi ya blue, na top ya kijani kata mikono.
nami nitakuwepo nitakuwa nimepiga pamba zangu kama kawaida.... kofia ya kijani, shati la kijani na suruali yangu nyeusi .....nitakaa kwenye kona....taratibu nashusha taska bariiiid.......:A S shade:
 
tukutane New Miami Bar pale darini nyama choma ya kuku, mbuzi, ng'ombe, supu ya moto na michemsho
masaa 24...screen kuubwa kama kuna mechi muhimu huwezi kukosa. pana wachaga wanachoma nyama
nyanda za juu kusini hakuna mfanowe. Gangilonga kuna +255 pub, ila hapo ubishoo mwingi madenti toka
RUCO na TUMAINI wanauza sura. Kama hupendi fujo yaani unapenda utulivu kwa sana fika Hill top ipo Wilolesi.
 
Back
Top Bottom