Majina ya wana JD yananichekesha sana!

Nivea

JF-Expert Member
May 21, 2012
7,459
4,748
Wana jf habari zenyu bana, hebu tujuzane nini maana ya username yako na ilikuwaje ukajiita hivyo,mfano-kiziwi,kongosho,mbumbumbu -maranyingi wana jf huwakosoa kwausername zao mfano kiziwi huambiwa mawazo yake yamefanana na username yake mi huwa nakuwa hoi sana
naomba


mimi username yangu niliipenda sababu wamoyo wangu anapenda sana product za hiyo kampuni
nijuze nijuze tujuzane !!!!!!!!
 
nlishaona uzi kama huu b4,but wat th heck. I،m a guy nd i،m Good need i say mr
 
Me User Name yangu niliipenda kwa jinsi nilivyo,
kwani nimekaa Kimadame-madame!!
Na wa Moyo wangu anapenda sana Dread na swaga zangu.
 
Kama kuna members wanao judge Username ya member imefananaje!
Basi itakuwepo shughuli.
Mf. Humu kuna member anaitwa Boro !
Huyu mtamhukumuje?
Mimi sijui .
 
ma username mengine kama hili KIJAMBIO sijui mamtu yanafikiliaje mpaka kujiita hivi
 
Mtu huandika tu limkutalo kichwani. Though great thinker hutafuta yale yafananayo na maisha yao halisi.
 
Niliitwa mtoto wa Mbwa na fisadi mmoja, nikaona isiwe tabu nikaiweka kwa Lugha ya Malkia
 
Mie nawatambua Wazinzi wote humu na ndio maana najiita MTAMBUZI................
In short hata wewe nishakutambua..................LOL
 
Mimi nimejiita queen sababu mimi ni mwanamke na ninaamini kuwa wanawake wote tunatakiwa kuchukuliwa kama malkia.
Hivyo mimi najichukulia kama malkia.
Wale wanaodharau mama zao,wale wanaopiga wake zao,kuwadharau,kuwacheat na kuwanyanyanyasa na wale wanaowaona wanawake si lolote bali matatizo tu katika jamii wanakosea kwani malkia kamwe hastahili kufanyiwa hivyo.
Hiyo ndio sababu ya mimi kujiita Malkia.
 
kuna jamaa akuja humu akijiita KIFILIO, Mamod waliandamana abadilishe akagoma. invisible ikabidi aedit jina akamuita KIFILI. jamaa aliandamana mpaka ikulu akitaka jina lake eti ni jina la babu yake. sijui kama siku hizi anaingia jf.
 
Back
Top Bottom