Weekend nzima simu zangu hazikuwa zinafanya kazi.........kha! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Weekend nzima simu zangu hazikuwa zinafanya kazi.........kha!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by M'Jr, Jun 4, 2012.

 1. M'Jr

  M'Jr JF-Expert Member

  #1
  Jun 4, 2012
  Joined: Jul 8, 2011
  Messages: 3,539
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  Yaani nimeishi kwa matatizo makubwa sana weekend hii maana simu zangu zote ziligoma kufanya kazi, sijui kama ilikuwa ni huko mitaa ya kwangu tu au kote! Ki modem changu nacho kikagoma kufanya kazi, nahisi nimewapa wakati mgumu sana baadhi ya watu........nisameheni bure lakini naombeni kwa heshima na taadhima muwalaumu Airtel na Vodacom kwa kuniweka nje ya mawasiliano...
   
 2. Cantalisia

  Cantalisia JF-Expert Member

  #2
  Jun 4, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 5,229
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Pole co ww tu,hata mie ivo ivo watu wanasema nilikua cpatikan wdkati cm zote zilikua on,nashukuru nilikua na wauban wangu wiki end nzima otherwise ungekuta nakabiliwa na kec nzito,polen sn wale mlonikosa hewan!
   
 3. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #3
  Jun 4, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,860
  Likes Received: 1,133
  Trophy Points: 280
  Pole sana M'Jr vp saiv zinafanya kazi ama umeenda internet cafe????
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #4
  Jun 4, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  poleni. . . .
   
 5. M'Jr

  M'Jr JF-Expert Member

  #5
  Jun 4, 2012
  Joined: Jul 8, 2011
  Messages: 3,539
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  [MENTION]chaminglady[/MENTION],
  Leo imekubali eti ila sasa net ya ofisini ndio imegoma so natumia ka modem kangu
   
 6. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #6
  Jun 4, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Ni kweli mkuu,maana hutu tu-simu twa kichina tunasumbua kweli duh!yaani vinafanya kazi chini ya minala tu,ukitoka nje ya mnala imekula kwako lol!
   
 7. Junior. Cux

  Junior. Cux JF-Expert Member

  #7
  Jun 4, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 5,305
  Likes Received: 1,230
  Trophy Points: 280
  na we ni wa mabwepande.?? nasikia huko weekend mitandao inaenda likizo..
   
 8. M'Jr

  M'Jr JF-Expert Member

  #8
  Jun 4, 2012
  Joined: Jul 8, 2011
  Messages: 3,539
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  Ndugu yangu weee si bora ingekuwa Mabwepande jirani hapo, ni huku Mlingotini
   
 9. g

  gkaaya Member

  #9
  Jun 5, 2012
  Joined: Oct 15, 2008
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Siyo mlingotini nahisi ni kibandamaiti.

  pole sana jaribu kuwasiliana na VODACOM ili upate ushahuri zaidi.
   
Loading...