The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,320
- 117,675
Sijui mikoani ikoje
but kwa dar huwezi katishamitaa bila kuona mwanamke kavaa nguo hii
ni rangi tu ndo wanatofautiana.....utasema 'zinagaiwa bure somewhere'
sasa kwa wadada wa jf labda mtueleze siri ya umaarufu wa nguo hii
na rangi uliyoichagua wewe kama unayo.....