Kinyumenyume, mchapio n.k

Siri Sirini

JF-Expert Member
Mar 12, 2012
547
198
Wana jf kuna wa2 wanalala mika sana wa2 wakiandika maneno wameyafupisha au hayajanyooka vizuri, kuchapia, kuandika kinyumenyume nk, ukumbi wao huu hapa,

nikianza na ww poha nina ciiju, humboja? Xaxa 2onena piwa? (Madame B)
 
Mimi mbocija,
lai nambo ndikauna ihi jiseme maka levi vahuaja ongu?
 
Ngoja niende zangu siasani maana hapa kama hutaangalia vizuri, unaweza ukavunjika vidole bure.
The unseen is illustrated by the seen.
 
Hii mada inawafaa wale wanaopenda kufanya mambo kinyume na maumbile... Kwaherini.
 
Jamani e,
maneno mengine naona kama vile natukana.

Haswaa, na utatukana kweli , naona mnakolekea wasemaji wa kinyumenyume siko.
Mhe. Selasini ni mbunge wa Rombo, sasa msije mkafikia jina la jimbo lake mlijaribu kinyumenyume shaurilo!
Mi simo .
 
Haswaa, na utatukana kweli , naona mnakolekea wasemaji wa kinyumenyume siko.
Mhe. Selasini ni mbunge wa Rombo, sasa msije mkafikia jina la jimbo lake mlijaribu kinyumenyume shaurilo!
Mi simo .

hahaha, Mhe. 30 ni mngebu wa Mboro, ooh sorry Rombo, hahaha,
 
Back
Top Bottom