Ishia zako demu mwenyewe hulipi wala nini........

Ishia zako demu mwenyewe hulipi wala nini........

tindikalikali

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2011
Posts
4,854
Reaction score
1,146
UONGO MWINGINE HATA HAUFAI....

Jamaa: Unasoma?

Demu: Hapana sisomi, vipi wewe unasoma?

Jamaa: Ndo nipo kidato cha nne Jangwani.

Demu: Jamani hiyo si shule ya wasichana?

Jamaa: Aaah sory nimechanganya nipo Kisutu

Demu: Mwee mbona nayo ya wasichana...

Jamaa: haaah aaah nilikuwa nakutania tu nachukua masters IFM.

Demu: Mh ina maana IFM imeanza kutoa masters?

Jamaa: Ishia zako demu mwenyewe hulipi wala nini...unaniuliza maswali kama tupo uhamiaji? KWA TAHARIFA YAKO NACHUKUA DEGREE YA UDAKTARI CBE.
 
Hivi kumbe IFM, haina Masters, kuna mtu kipindi fulani aliniambia ilikuwepo ya a certain course, labda ilishatolewa!, but nimeipenda sana joke yako, inaonesha jamaa anajifanya sizitaki mbichi hizi, wakati anajua kabisa hizo ndizi ni mbivu, sema ameshindwa tu kuzipata!
 
Searching...100%
Loading...100%
Network Connected !
 
Hivi kumbe IFM, haina Masters, kuna mtu kipindi fulani aliniambia ilikuwepo ya a certain course, labda ilishatolewa!, but nimeipenda sana joke yako, inaonesha jamaa anajifanya sizitaki mbichi hizi, wakati anajua kabisa hizo ndizi ni mbivu, sema ameshindwa tu kuzipata!

IFM inatoa elimu ya masters, ila kichekesho kimekaa vyema
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom