Kisa kilichokuaibisha. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kisa kilichokuaibisha.

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Mapi, Jun 2, 2012.

 1. Mapi

  Mapi JF-Expert Member

  #1
  Jun 2, 2012
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 6,871
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Nianze na mimi kama ilivyo ada...siku moja asubuh nimepanda daladala toka mbezi kuelekea posta nikiwa nimesimama huku mikono kwenye chuma, nikahis kupga chafya, kabla sijafanikiwa kutoa leso mfukon tayar ilishanichomoka na bonge la kamas kufuatia huku likidondoka kwenye shati langu jeupe na abiria karbu wote wakinitazama.....tupia na wewe chako kama ilishakutokea
   
 2. Remmy

  Remmy JF-Expert Member

  #2
  Jun 2, 2012
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 4,718
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Pole sana aisee.
   
 3. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #3
  Jun 2, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  Mimi nilifumaniwa na mke wa mtu, si mara moja ila mara kibao na siachi ngoo.
   
 4. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #4
  Jun 3, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,876
  Likes Received: 6,231
  Trophy Points: 280
  duh pole
   
 5. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #5
  Jun 3, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,876
  Likes Received: 6,231
  Trophy Points: 280
  kwa hiyo wewe ni expert wa wake za watu au ni expert wa kufumaniwa?
   
 6. Mapi

  Mapi JF-Expert Member

  #6
  Jun 3, 2012
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 6,871
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Bishanga ulvyofumaniwa kilifuatia nin, ulitoka tokaje,
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. Mapi

  Mapi JF-Expert Member

  #7
  Jun 3, 2012
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 6,871
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Remmy nashukuru mkuu. Tupia chako tukione
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. Mapi

  Mapi JF-Expert Member

  #8
  Jun 3, 2012
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 6,871
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 9. k

  king kibanga New Member

  #9
  Jun 3, 2012
  Joined: May 27, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jamaa anaona sifa kufumaniwa kuna siku ataliwa kiboga sijui ataika hewani hiyo
   
 10. Mapi

  Mapi JF-Expert Member

  #10
  Jun 3, 2012
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 6,871
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #11
  Jun 3, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,407
  Trophy Points: 280
  Kuna dada tulikua tunasoma nae UDSM sasa alikua anainama afute vumbi kwenye viatu alikua mbele yetu wakati anainama akaachia bonge la shuzi bila kutarajia daaa aliona aibu kinoma,kama yupo humu JF aje haitoe hii aibu aliyoipata!!!
   
 12. Mapi

  Mapi JF-Expert Member

  #12
  Jun 3, 2012
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 6,871
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  hahahahahahahahahaahaha. Dah! Unaniumiza mbavu mkuu King Kong III. na alikuwaje na wanadarasa? Mahusiano yake.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. CUTE

  CUTE JF-Expert Member

  #13
  Jun 3, 2012
  Joined: Mar 5, 2012
  Messages: 1,237
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  we mkali mkuu jah!Bishanga
   
 14. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #14
  Jun 3, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,128
  Likes Received: 4,995
  Trophy Points: 280
  Mh! Nina mashaka na 'Mlango wa uwani' wa huyo dada...!!!
  Ainame tu then afyatue?
  Haya msubiri huenda atakuja hapa Jamvini kuja toa aibu.
   
 15. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #15
  Jun 3, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,861
  Likes Received: 1,137
  Trophy Points: 280
  dah,me cku 1 nilikuwa natoka washrum kwny ofc 1 hv na karibu na hyo washrum kuna ofc. basi kumbe baada ya me kumaliza haja zangu nikatoka bila kujikagua vyema. lahaula kumbe upindo wa chini wa sketi imejichomekeza kwny pichu,nikawa nimebaki wazi bahat nzur nlikuwa nimevaa skintaiti weee nliona aibu ya mwaka!
   
 16. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #16
  Jun 3, 2012
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 18,740
  Likes Received: 8,329
  Trophy Points: 280
  King Kong III....hahaha umenichekesha ukizingatia saivi nipo apa UD kikazi..njoo hapa TC lab utanikuta!!!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 17. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #17
  Jun 3, 2012
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 18,740
  Likes Received: 8,329
  Trophy Points: 280
  Du mimi ilikuwa kwenye sleepover those dayz niko chuo Naiiii...tuko wengi kwa mshkaji afu mwenyewe ana kitanda kimoja sasa wote tumechoka na tunataka kulala..basi tukabanana kwenye kitanda nakumbuka mtu 12....mwenzenu ucku si nikaota yale mambo ya kikubwa..afu nina ka boxer tu...asubuhi watu wanashangaa kuna kapatch kwenye shuka na boxer yangu..wacha waanze kunicheka...daah siez sahau! afu wengine washadhani eti nimejikojolea...duh ilinichukua mda mpaka waamini otherwise..duh!!!
   
 18. Mapi

  Mapi JF-Expert Member

  #18
  Jun 3, 2012
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 6,871
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Inaonesha Bishanga ni mzoef wa hyo mamboee. Au unasemaje CUTE
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 19. Mapi

  Mapi JF-Expert Member

  #19
  Jun 3, 2012
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 6,871
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  we unahsi huo mlango utakuwa umefanywa nin Madame B
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 20. Mapi

  Mapi JF-Expert Member

  #20
  Jun 3, 2012
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 6,871
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  pooole charminglady hapo wachuro kamera za sim hazkufanya kaz?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...