Kwa Nini Wanyamwezi Tu?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa Nini Wanyamwezi Tu??

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Katavi, Jun 5, 2012.

 1. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #1
  Jun 5, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Watu wakienda ulaya wanasema wanaenda UNYAMWEZINI wakati unyamwezini ni Tabora.
  Wazungu au wabongo wenye swaga za kizungu wanaitwa WANYAMWEZI hata kama ni Wafipa au wangoni n.k.
  Mzigo mzito mpe mnyamwezi hata kama hawezi kubeba.
  Hivi kwa nini sifa zote hizo wanapewa hawa jamaa na sio wakwere, wafipa, wabende, wachaga n.k...
  N.B: Msilete ukabila tafadhali, labda utani.
   
 2. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #2
  Jun 5, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,223
  Trophy Points: 280
  hahahaaaaaa......lol
   
 3. S

  Senator p JF-Expert Member

  #3
  Jun 5, 2012
  Joined: Oct 27, 2011
  Messages: 283
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Unajua kwa mara ya kwanza wa2 toka nje hawakuja tanganyka kuuza sura,biashara tu,na mwarabu aliwauza thana hawa kwa 7bbu ya nguv ya kaz,mpaka leo mashamb ya mkonge tanga na karafuu znz wapo wanyamwez.
   
 4. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #4
  Jun 5, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  BADILI TABIA ulishafika unyamwezini wewe........??
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #5
  Jun 5, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Ha ha ha haaah Senator p unamaanisha jamaa ndio wale waliokuwa wanaitwa manamba?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...