Kulikuwa na kikao cha umoja wa mataifa, New York, Uingereza katika miaka ya 80, wakati kikao kikianza akatokea nzi wa chooni, akawa anasumbua watu, jitahda nyingi zilifanyika ili kuweza kumuondoa...
unahabari,kwamba majina yana endana na tabia,skull walinitungia jina la osama kabla hata september 11,asee niklikuwa na matukio,mara kijijini warombo wameniwekea most wanted nisikanyage,skull...
Mpishi wa shule fulani alijikuta akilikimbia jiko huku amebeba silaha za kijadi na kuelekea gesti ambako aliumwa sikio mkewe alikuwa kule akishughulikiwa kikamilifu na mwanafunzi ambaye yeye huwa...
Weekend ipoje pande hizo! wadau wa CC siku moja nilikuwa nilikwenda airport kumpokea mgeni flan... kwa bahati mbaya ndege ikachelewa kufika basi pale nilipokuwa nimekaa kulikuwa na watu kama wa3...
Dear Saint Ivuga,
Thinking of you in a particular way tonight
May you have a blessed day, full of love
May joy, happiness and cheering spirit
visit you today and for the year to come.
Tonight I...
Niko Arusha kwa mapumziko kama alivyokuja mzee wa anga.Nahitaji kwenda
Ma##ko Bar leo pliz wadau nielekezeni ni wapi.Taxi huwa sipandi wa boda boda nna kabaj kangu.Natanguliza shukrani.
Fuata maelekezo haya rahisi uone utakavyotengeneza Dolar Dolar Dolar Dolar!
FOLLOW THIS SIMPLE PROCEDURE:
1. OPEN A NEW TEXT OR WORD DOCUMENT
2. HOLD DOWN THE SHIFT KEY.
3. HIT THE 4 KEY FOUR...
nakumbuka kipindi falani hivi nikiwa nasoma form six tanga banaa,nikawa nimepanga getho chumbageni saa kuna msambaa mmoja alikuwa na duka kubwa kweli yani lipo full ila alikuwa anaiman haba,yani...
dah! Kali ya mwaka,bibi alienda kwamganga na ilikuwa hivi.
bibi:munguwana mishida yangu naitaji dawa yakuni fanya niwe shapu kwakila jambo kama enzi za ujana
mganga:bibi dawayako hai itaji...