Nahisi naibiwa....................!

Mtambuzi

Platinum Member
Oct 29, 2008
8,810
15,398
Huyu jirani yangu nina wasiwasi naye sana.........

Kila siku asubuhi nakuta matembele ya mama Ngina bustanini yamechumwa ........ Nimefuatilia nyayo naona zinaelekea kwake.....

Jamani tutaonana wabaya...........................!
 
hebu fungua (mabano) tafadhali.
 
Huyu jirani yangu nina wasiwasi naye sana.........

Kila siku asubuhi nakuta matembele ya mama Ngina bustanini yamechumwa ........ Nimefuatilia nyayo naona zinaelekea kwake.....

Jamani tutaonana wabaya...........................!
Huyo atakuwa ni aspirin tu.
 
mama ngina si mkeo?

Tembele lake linaliwa na jirani?
Namaanisha mboga zake za majani bustanini kwake................ Kwani wewe umeelewaje?
Usije ukanijia na nahau za kipemba hapa , utaniuwa kwa PURESHA.............. Acha kabisa Kongosho
 
Last edited by a moderator:
Hutamuona hapa tena........ Nimemwambia akalale, usiku umeingia..................LOL

Usimfanyie hivyo please hebukamuamushe ili aendelee kufaidi Jf.
The unseen is illustrated by the seen.
 
khaa me mbna namuonaga anaendaga na matembele kila siku nilikua naogopa kukwambia ntaonekana mmbea kama konie
 
Ahahahaha, I love the title Mtambuzi, inamwacha msomaji amalizie mwenyewe kwa jinsi mind yake ilivyo, kabla hajafungua kujua anaibiwa nini...:biggrin:
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom