TanzaniaDaima kuandika hivi kesho

Gizakuu

Member
Apr 29, 2012
38
13
Mhhhhh....loading... Nilikuwa natafakari TzDaima kesho wataandika nini nimetafakari..nisaidieni.
 
"Mbowe hajakufuru" au "Mbowe hauzi Pombe anauza Kileo".
 
Uhuru litaandika ''kumbe Uhamsho ni kundi la Majambazi-Nape..
 
Natabiri itakuwa hivi:


CCM yaifunika Chadema

  • Maelfu wahudhuria mkutano,wengi warudisha kadi za Chadema.
  • Wassira amchambua Mbowe, asema Mbowe hana adabu kwa baba yake.
  • Prof. Maghembe, Prof. Tibaijuka, Dr. Magufuli waunguruma.
  • Kinana asema kazi imeanza, mikutano kuendelea nchi nzima.
  • Nape awakejeli wanaokihama Chama, awafananisha na oili chafu.
 
Ningekuwa mi ndo Internal Editor ingekuwa hivi:Mawaziri kuacha kazi kwa muda ili wahubiri majukwaani
 
Back
Top Bottom