Mpishi aacha kupika na kumfumania mkewe na mwanafunzi wakipeana............. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mpishi aacha kupika na kumfumania mkewe na mwanafunzi wakipeana.............

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Rutashubanyuma, Jun 9, 2012.

 1. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #1
  Jun 9, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,748
  Likes Received: 416,592
  Trophy Points: 280
  Mpishi wa shule fulani alijikuta akilikimbia jiko huku amebeba silaha za kijadi na kuelekea gesti ambako aliumwa sikio mkewe alikuwa kule akishughulikiwa kikamilifu na mwanafunzi ambaye yeye huwa anamtengenezea misosi yake...........

  Alipofika kule akaamua kumpigia simu ya mkono mkewe ambaye hata hivyo hakupokea na huku akisaidiwa na wasamaria wema wakaufungua ule mlango na kuwakuta ni kweli................lilikuwa ni bonge la fumanizi.............

  Jinsi anavyompenda mkewe, mpishi akamwuuliza kama kweli walikuwa wanadu mle chumbani na yule mwanafunzi...................kabla hata hajapewa majibu alizirai........................bado ninafuatilia.........................baada ya hapo ilitokea nini tena.........

  Bofya hapa kwa maelezo ya kina............
  Crazy Monday

  Last Updated:
  9 hrs 39 mins ago Follow us on Facebook Watch us on Youtube Follow us on Twitter
  Magazines Cook faints after catching his wife with a student
  Cook faints after catching his wife with a student
   
 2. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #2
  Jun 9, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Haichekeshi.
   
 3. ummu kulthum

  ummu kulthum JF-Expert Member

  #3
  Jun 9, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 2,791
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  khe na huku nako upo
   
 4. THK DJAYZZ

  THK DJAYZZ JF-Expert Member

  #4
  Jun 10, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Searching...

  Near by Kyela Mbeya
   
 5. Kilahunja

  Kilahunja JF-Expert Member

  #5
  Jun 10, 2012
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 1,497
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  haijanikuna wala sielewi.
   
Loading...