kifua kikubwa kwa mwanaume | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kifua kikubwa kwa mwanaume

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by davy dan, Jun 5, 2012.

 1. d

  davy dan Member

  #1
  Jun 5, 2012
  Joined: Mar 22, 2012
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  eti jamani ni lazima kwa model wa kiume kuwa mbeba vyuma?na je ni kwel kwamba wadada wanavutiwa na wanaume wenye vifua vikubwa?
   
 2. Jakubumba

  Jakubumba JF-Expert Member

  #2
  Jun 5, 2012
  Joined: Mar 5, 2011
  Messages: 1,627
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Ngoja tuwasubilie waje kutujibu, ila huwa ni wagumu kusema ukweli kama hujagusia mambo ya noti
   
 3. Scofied

  Scofied JF-Expert Member

  #3
  Jun 5, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 2,017
  Likes Received: 197
  Trophy Points: 160
  Wadada mpo wap? mwageni sifa banaa...
   
 4. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #4
  Jun 5, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,867
  Likes Received: 6,220
  Trophy Points: 280
  mkibeba vyuma msije mkapitiliza, mwisho wa sikumkawa mivifua mikubwaaaaaa, makalio vidunchu na vijimashine........

  Vyuma mbebe kwa kiasi.....

  Ila mwanaume kazi ya umodel ya nini?(huu ni mtazamo wangu tu....)
   
 5. d

  davy dan Member

  #5
  Jun 5, 2012
  Joined: Mar 22, 2012
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ila vyuma vya mitaani vinawafanya watu wanakuwa na maumbo kama gitaa
   
 6. M-bongotz

  M-bongotz JF-Expert Member

  #6
  Jun 5, 2012
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,732
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  You made my day...lol umenichekesha sana
   
 7. Asnam

  Asnam JF-Expert Member

  #7
  Jun 5, 2012
  Joined: Jan 18, 2012
  Messages: 4,268
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 135
  kifua kikubwa cha nini kwani alipokupenda ulikuwa na hilo likifua kama tyson kama amekukuta nacho sawa,yanini kucomplicate mambo madogo kuwa makubwa kila mmoja ana vigezo vyake
   
 8. Asabaya

  Asabaya JF-Expert Member

  #8
  Jun 5, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 1,317
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Sio kibaya ukiwa na kifua cha wastani sio tena uwenakifua mpaka huko ikulu kuwe na mbirimbi haipendezi...
   
 9. MwalimuZawadi

  MwalimuZawadi JF-Expert Member

  #9
  Jun 5, 2012
  Joined: Sep 1, 2007
  Messages: 643
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Hawa wabeba vyuma wanatuharibia sana soko sisi wazee tusio na misuli, anyway bado tunapeta
   
 10. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #10
  Jun 5, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Watu tunapendewa ATM zetu.
   
 11. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #11
  Jun 5, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,692
  Likes Received: 12,738
  Trophy Points: 280
  We jidanganye ubebe vyuma usitafute pesa, wanawake wanabdilika kama kinyonga, utabeba chuma alaf ana kumwaga anaenda kwa asiye nyanyua vyuma. Chezea wanawake wa siku izi weweeeeee.
   
 12. Scofied

  Scofied JF-Expert Member

  #12
  Jun 5, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 2,017
  Likes Received: 197
  Trophy Points: 160
  mazoezi muhimu wakuu,yanaongeza chachu kwenye yale mambo yetu...viva sisi wanyaanyua vyuma..
   
 13. Jakubumba

  Jakubumba JF-Expert Member

  #13
  Jun 5, 2012
  Joined: Mar 5, 2011
  Messages: 1,627
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Kiswahili kitamu aisee
   
 14. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #14
  Jun 5, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  sipendi magazeti ya mzalendo au Capital 'Y'
   
 15. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #15
  Jun 5, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,237
  Likes Received: 3,654
  Trophy Points: 280
  Ngoja niuze nondo zangu!
   
 16. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #16
  Jun 5, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Mie siwapendi wanaume wenye vifua vikubwa......yaani siwapendi kabisa......
   
 17. Mapi

  Mapi JF-Expert Member

  #17
  Jun 5, 2012
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 6,871
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  hapo kwenye maumbo gitaa nadhan ntacheka hadi kwenye ndoto davy dan.... Kwahyo sweetlady mwenye mali vyuma umemwambia apeleke wapi na kwa nn hupendi?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 18. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #18
  Jun 5, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,314
  Likes Received: 1,784
  Trophy Points: 280
  Issue kifua kikubwa au kutengeneza mwili mzuri wa mazoezi? Maana kifua, mikono, miguu, tumbo lazima vibalance ili mtu uwe na muonekano mzuri
   
 19. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #19
  Jun 5, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145

  Mambo vipi Mapi.....siwapendi vile walivyojazia afu nakerekwa zaidi kama kavaa body tight lol....kweli sijawahi kuwapenda wala kuvutiwa nao.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 20. Mapi

  Mapi JF-Expert Member

  #20
  Jun 5, 2012
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 6,871
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  pouwa sweetlady inamana ukawa nae yupo kawaida baada ya mda akaamua kuanza utamkimbia ama? Na pengne umemshaur amegoma na bado moyo wako unadundia kwake
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...