Akili kidogo, masabuli kidogo

Simba Mkali

JF-Expert Member
Jan 31, 2012
620
239
Kulikuwa na kikao cha umoja wa mataifa, New York, Uingereza katika miaka ya 80, wakati kikao kikianza akatokea nzi wa chooni, akawa anasumbua watu, jitahda nyingi zilifanyika ili kuweza kumuondoa nzi yule aliyeingia bahati mbaya katika kikao kile lakini zilishindikana.
Mtu mmoja kutoka India akatia kidole nyuma ya Masabuli yake na kukinyosha juu ili kumtega nzi yule, kweli nzi alifika na kutua katika kidole kile, palepale yule Mhindi akamminya na kuwataka viongozi wenzake waendelee na mkutano. Baada ya kikao kumalizika, viongozi kadhaa walimfuata yule Mhindi kwa kutaka kujua alitumia mbinu gani kumuua nzi yule, ndipo alipowaambia huku akionesha kichwa chake : Nimetumia hii kidogo na hii (akionesha Masabuli yake) kidogo.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom