Ma doudou ndiye miye the secretary

sasa mbona ukatia tena thread mpya jamani...nakumbuka kama ulishalitolea ufafanuzi sehemu?
 
Muulize kilichomkatisha tamaa unga limited mi mdogo wake LIZZY

Kumbe na hayo tena!
Hapo sitii neno langu, huyu Mhe naheshmiana nae sana.
Alafu back to the mada, mimi nna imani kuna siku hapa Jf mtu atakuja funguka aseme :
" Mimi ndiye Jane triple zero"
 
SOrry waweza nikumbusha ile ID yako nyingine inaitwaje??
 
halafu umenikumbusha sijui kaishia wapi halafu ningekuwa nimeacha kwa mabaye nisingesema niliitamani sana id yangu
 
SOrry waweza nikumbusha ile ID yako nyingine inaitwaje??

SS mi mtu wangu sijajaribugi, kwanza wala sioni mibidii yote niifanye kuwa na multiple Id's , za nini wakati hapa hatulipwi hata sent 5 !
Hata uandike kila siku Thrades 10! Sanasana mie ndiye niliwae! Kukicha kb's , mb's zinaondoka na maji.
 
ah ha ha hah a naona una mgeni The secretary LEO
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom