Usha wai kufanya usanii wewe... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Usha wai kufanya usanii wewe...

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by B'REAL, Jun 8, 2012.

 1. B'REAL

  B'REAL JF-Expert Member

  #1
  Jun 8, 2012
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 3,108
  Likes Received: 172
  Trophy Points: 160
  nakumbuka kipindi falani hivi nikiwa nasoma form six tanga banaa,nikawa nimepanga getho chumbageni saa kuna msambaa mmoja alikuwa na duka kubwa kweli yani lipo full ila alikuwa anaiman haba,yani akiona paka shida sijui nini mara watu wa hapa wananiloga sana,saa siku moja tukawa gheto tumepigikaa kweli hata diko la jioni hatujui itakuwaje ndo mtu akatoa wazo,tumcheze mgosi mchezo,tukaa chukua kitambaa chekundu tuka mix na uzi mweusi kama irizi likawa bonge la irizi,afu tukalifukiee pembeni ya duka lake.
  kama kawaida asubui akaenda mshikaji tunae kaa nae getho,katika story akamchomekea asee B'REAL jana kaoteshwa asee,siunajua kwao wakofiti ana majini ya kutibia.kama baada ya nusu saa nikaenda pale dukani baada ya kusalimiana nikamwambia mgosi mbona kama najiskia kichwa kinauma afu kama navutwa vutwa leo hapa dukani kwako...mgosi akaguna nikamuuliza leo umepata wateja kweli tokea ufungue asubui akasema dah!!yani kajaa mmoja tena kununua kibiriti,nikaona kaingia kumi na nane...nikamwambia unajembe,embu nipee nikaenda nikafukua sehemu ambayo najua ipo ile irizi,akiwa amesimama mbele mara akaiyona...asee mgoshi aliuzunikaa,alisema''haaaaaaa oshie watu hawanipendi jamani humu..ase b'real asantee asee''nikamwambia tuichome tukaichoma,baada ya kumaliza kazi akanipa 10000,aka tupa na unga wa ugali,mafuta asee.tokea iyo siku nilikuwa na mkopa hakatai...
   
 2. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #2
  Jun 8, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,226
  Trophy Points: 280
  hahahahaha ama kweli njaa inafunza
   
 3. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #3
  Jun 8, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  hahahahhaaaa....wagosi oyeeee!..
   
 4. mbalu

  mbalu JF-Expert Member

  #4
  Jun 8, 2012
  Joined: May 18, 2012
  Messages: 553
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  vijana wa kitangaa wanapenda kuji......
   
 5. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #5
  Jun 8, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Ulishatubu?
  Maungamo yanakuhusu hapo!
   
 6. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #6
  Jun 8, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,918
  Likes Received: 219
  Trophy Points: 160
  Hahahahaaa, kweli mlikuwa Ma-Jiniaz
   
 7. B'REAL

  B'REAL JF-Expert Member

  #7
  Jun 8, 2012
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 3,108
  Likes Received: 172
  Trophy Points: 160
  unaambiwa ukiwa na njaa akili inafanya kazi mara sita
   
 8. B'REAL

  B'REAL JF-Expert Member

  #8
  Jun 8, 2012
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 3,108
  Likes Received: 172
  Trophy Points: 160
  kuji...?nini mzee sema afu mi ninjere chali ya ARAA. tanga ilikuwa kishule mzee
   
 9. B'REAL

  B'REAL JF-Expert Member

  #9
  Jun 8, 2012
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 3,108
  Likes Received: 172
  Trophy Points: 160
  umeona kamandaa hii ndo mjini
   
 10. B'REAL

  B'REAL JF-Expert Member

  #10
  Jun 8, 2012
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 3,108
  Likes Received: 172
  Trophy Points: 160
  AFUU hizii imani haba zina waponza wengi sana,we daily mganga anaagiza kuku na mbuzi hata siku moja haagizi samaki au paka.
   
 11. B'REAL

  B'REAL JF-Expert Member

  #11
  Jun 8, 2012
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 3,108
  Likes Received: 172
  Trophy Points: 160
  nitubu nini baba imani yake ndo ilimpoza afu mi nife njaa jamani wakati kunanjia ya kujisaidia.mungu anisamehe
   
 12. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #12
  Jun 8, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,087
  Likes Received: 6,551
  Trophy Points: 280
  Kweli njaa inaleta akili mkuu.
   
 13. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #13
  Jun 8, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,857
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  mh,napita naenda zangu MMU nkirudi ntakoment
   
 14. B'REAL

  B'REAL JF-Expert Member

  #14
  Jun 9, 2012
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 3,108
  Likes Received: 172
  Trophy Points: 160
  koment basii na wewe mmmh
   
Loading...