Dawa ya Uzee

Dawa ya Uzee

Malunkwi

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2011
Posts
338
Reaction score
80
dah! Kali ya mwaka,bibi alienda kwamganga na ilikuwa hivi.
bibi:munguwana mishida yangu naitaji dawa yakuni fanya niwe shapu kwakila jambo kama enzi za ujana
mganga:bibi dawayako hai itaji malipo niutayari2 kutoka kwako hatafimbo utaacha kutumia na utakuwa mwana riadha waukwel.
Bibi:eeh!kwel mungwana nipatie hiyo.
Mganga:ila tusitafutane bibi.kanunue panga lililo nolewa vizur kisha mpatie kichaa mkorofi .mhuu baada yabibi kukamilisha maelekezo kilicho fuata hatamungu apendi bibi alikua anafuta mbio kama ndegezakivita .
 
Back
Top Bottom