Jamani bado naomba msaada kwenye tuta

Jamani bado naomba msaada kwenye tuta

Ruhazwe JR

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2011
Posts
3,402
Reaction score
944
Ni kuhusu charminglady ,Yaani nimejaribu kujizuia ili nimsahau imeshindikana.

Bado nampenda,ntaendelea kumpenda.Anaye weza kunisaidia kumpata huyu mdada natangaza donge nono.
 
Last edited by a moderator:
Bila shaka una hitaji msaada wa ziada!
 
Unahitaji maombi wewe.
Btw unachojisikia ni mapenzi au tamaa tu ya ku do naye ie lust?
 
Back
Top Bottom