Ruhazwe JR
JF-Expert Member
- Jan 31, 2011
- 3,402
- 944
jamani huu ni uchwawi au?View attachment 66671
Marhabaa.........halafu kwa nini haujalala mpaka muda huu?
Wewe mbona hujalala?
Mimi kidume ebo!...hebu katie utuli ulale
Umesahau kuwa siku hizi ni nusu kwa nusu !
Utuli nishatia sa nyingi..........kwani bado harufu haijakufikia huko eeh?
Sema kama vipi nitie ule wa zanzibar!
Naona Beijing imewatia kiburi....ngoja mimi nitangulie kulala lakini hakikisha umekuja na godoro lako kabisa
AlamsikiHahahahahaha......una mkwara wewe lol
Haya usiku mwema!
Hapo wapi Ruhazwe JR ? Kama kigoma sawa
Alipandishwa na watu, lol.
alipandishwa na watu? you mean walimdrop na chopper?