Jamani wana chit chat hebu njooni tumpe hongera | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani wana chit chat hebu njooni tumpe hongera

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by sweetlady, Oct 1, 2012.

 1. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #1
  Oct 1, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Wapendwa wana chit chat kuna huyu memba anaejiita Arushaone .......daaaah jamani sio mchoyo wa kutoa like......hebu na tumpe hongera zake manake hana mpinzani chit chat na majukwaa mengine kwa sasa.....yaani mie ananishangaza kwa kweli.....huyu mwenzetu sijui atakuwa anatokea kabila lipi lisilokuwa na hata chembe ya uchoyo...... Mke mwenza King'asti hebu nisaidie kujua Arushaone anatokea mkoa gani ila na wewe usijesema anatokea mkoa wa ngaramtoni lol.......hivi kuna memba humu hajawahi kulamba like ya Arushaone???......kama yupo na akaoge maji ya magadi tena yalochotwa katikati ya bahari....... platozoom atamsaidia kwenda kuchota !

  Mamndenyi mama mzazi naomba kwa heshima na taadhima nikutoe kwenye ginesi buku yangu kwa upendo wa bwana afu nimwingize Arushaone manake anatisha na anastahili kiukweli!.......tumezoea kupeana like kishkaji ila huyu mwenzetu jamani za kwake zimepitiliza..... Ndahani hebu kuja umpigie makofi kwa niaba ya Filipo na PakaJimmy!


  Nikisema Arushaone sio mchoyo ina mana kuna wachoyo wa kutoa like humu.....mmoja wao ni Nyani Ngabu lol yaani mie toka nijiunge jf nimewahi kulamba like yake moja tu khaaa......yaani mpaka nimeiandikia tarehe wajameni lol....kuna na huyu moderator anaejiita Invisible yaani hajawahi kunigongea like hata siku moja ......najitahidi kweli kum mention kwenye post tofauti tofauti ila nasikitika vile bado amenikaukia lakina naamini kuna siku atanigongea.....hongera za kipekee zimwendee shemeji langu la ukweli Paw manake kiukweli nna like zake kadhaa bila kumsahau INNOVATOR na Fang !

  Kuna wale wenzangu na mie yaani hawa utakuta wana like za watu kibao ila wao hawajatoa like hata moja khaaa.....jamani acheni uchoyo manake mnakuwa hamuwatendei haki memba kama Arushaone......kutoa ni moyo wajameni......like tu mnakuwa wachoyo hivyo vipi hiyo michango ya jf mtaitoa kweli??? tehe tehe tehe!
  Arushaone mimi binafsi natoa shukrani za dhati kutoka uvunguni mwa moyo wangu..... Unatisha mkuu!

  Nawaita Kongosho, Asprin, Preta, Erickb52, Kaizer, Catherine, charminglady, KARIA BAGAH, Judgement, AshaDii, Blaki Womani, Madame B, Mentor na memba wote wa chit chat niliowasahau majina yao....njooni tumpe hongera Arushaone!
   
 2. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #2
  Oct 1, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Huyu Arushaone sio mchezo! Huwa anatowa like thread yooote! hahaha! Nimebahatika thread tatu zoote katowa like post zote, like zake huja kama mvua vile...

  Arushaone, hongera sana kwa moyo wako tajiri wa kutoa. Inaweza onekana kama mzaha but this says a lot about you. Na comment zako chache na brief inaonesha ni mtu wa furaha wakati wote.

  Hizi pongezi naomba pia zimuendee na Mamndenyi, huyu auntie kwa 'like' nae sio haba! Lol! Nichukue na hii nafasi pia kumpongeza Katavi kwa kukaribisha... Mkuu wew ni mkarimu saana.... Hongera sana kwa moyo wako huo.

  Nitowe pongezi pia na kwa Mtambuzi kwa story zake za kukosha, bila kumsahau baba watoto Kaizer kwa bidii yake ya kuoa na kuongeza idadi ya wake na washiriki wote waliosimama hasa... Kwa muktadha huoa natuma salamu kwa gfsonwin, mwaJ, mwalimu wake Madame B na snowhite bila kumsahau my niece Mwali. Love to you all...

  My sweet wifi sweetlady pamoja saana!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #3
  Oct 1, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  hivi chic king bado ipo....? nataka tumpeleke Arushaone akanywe milkisheki.....
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #4
  Oct 1, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,747
  Likes Received: 12,829
  Trophy Points: 280
  Hongera Arushaone
  naomba anunuliwe roshoro
  Huyu ni wa kule unga limited!
   
 5. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #5
  Oct 1, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  kwa Katavi mi naona ukimtembelea nyumbani kwake....huwezi kuondoka bila kutafuna kabawa au hata kipaja cha kuku.....huyu bwana ni mkarimu sana.....
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #6
  Oct 1, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Nakubaliana na wewe Preta... Ukarimu wa Katavi hauwezi ku fake itakuwa na kwake ako hivo hivo... Huwa anafurahisha sana.
   
 7. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #7
  Oct 1, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Yaani wifi huyu Arushaone ni kiboko yao lol.......afu nani kakuruhusu kutuma salamu hapa?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #8
  Oct 1, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Aiseee sina hakika kama bado ipo Preta......ngoja akija Blaki Womani atatusaidia kujua kama bado ipo...... lazima tumtoe Arushaone akaburudike lol
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 9. mwaJ

  mwaJ Tanzanite Member

  #9
  Oct 1, 2012
  Joined: Sep 27, 2007
  Messages: 4,076
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Pongezi kwa Arushaone ila AshaDii unamuonea bure Kaizer. Sikumbuki ni uzi gani lakini nimemsoma Kaizer muda si mrefu akimshushua mtu na kumwambia kuwa yeye ana wake wawili tu nao ni AshaDii na gfsonwin tu! Sasa hao wengine alioongeza ni kina nani nisiowajua mie msiri wake?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. beibe nasty

  beibe nasty JF-Expert Member

  #10
  Oct 1, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 1,648
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  arusha one hongera saana
   
 11. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #11
  Oct 1, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Ni kweli wifi .....huyu Katavi jukwaa la utambulisho linasema yote juu yake.....sio mchezo kukaa na kupokea mabegi ya wageni wote wa jf......kama haitoki moyoni mwako lazima ikushinde tu! Hongera Katavi uendelee na moyo huo huo wa ukarimu!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 12. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #12
  Oct 1, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,164
  Likes Received: 10,512
  Trophy Points: 280
  Aisee Arusha one namkubali sana hata mm kanigongea like za maana mpaka nilishangaa mwenyewe..

  Tatizo la most of us ambao hatutoi like sio kwamba tunapenda kutotoa like, ni kwasababu tunatumia simu muda mwingi...mf kama mm ninakitu kama wmwezi sijatumia pc .

  Ila Arusha one you owe my like..
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. The secretary

  The secretary JF-Expert Member

  #13
  Oct 2, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 4,161
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Arushaone kamuiga Erickb52 sijui yupo wapi wadada wa mwanza watakuwa wameshikilia naniliu modem yake hongera mzee wa arachuga
   
 14. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #14
  Oct 2, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  duu ningekuwa situmii mchina ningekupa like sweetlady kwa kuperuzi na maprofile ya member humu nice survey sisster
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 15. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #15
  Oct 2, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,539
  Likes Received: 830
  Trophy Points: 280
  Hongera Arushaone. Nini siri ya mafanikio yako?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 16. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #16
  Oct 2, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  The secretary Mwaaaaah kwa kutumia vizuri medula oblangata yako. Arushaone hongera endelea kuwakilisha jiji langu sweetlady miss u sana shemito, salamu zangu kwa nitonye mi nawakaribisha Bishanga Smiling Saint Mentor watu8 St. Paka Mweusi YNNAH wakati ndio sasa mtu chake Judgement Yummy na mumewe Mr Rocky Madame B na mumewe ruttashobolwa waje kumpa like huyu Arushaone.
  Mwisho nakuomba sweetlady umfikishie salamu Amyner mwambie nampenda sana kuliko Remmy na The secretary
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 17. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #17
  Oct 2, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  marejesho siri ya mafanikio ni jina na anakoishi...yan wana Arusha sio wagumu au wachoyo kama wako akina Kipipi
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 18. The secretary

  The secretary JF-Expert Member

  #18
  Oct 2, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 4,161
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Erickb52 unaloo achana na mtoto wa Bishanga
   
 19. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #19
  Oct 2, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,858
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280

  tedo umesema kweli. hata me wakati natumia pc ckuma mchoyo wa like. bt nw days natumia simu. wapendwa naombeni mnîsamehe bure.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 20. Blaki Womani

  Blaki Womani JF-Expert Member

  #20
  Oct 2, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 8,459
  Likes Received: 3,713
  Trophy Points: 280
  wifi sweetlady waliichinjia bahari .....kweli wifi Arushaone anastahili kuburudika tumpeleke club 63
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...