Taraaaaaaa...tiiiiibuuuu.....N aingiaaa mjengönii

Taraaaaaaa...tiiiiibuuuu.....N aingiaaa mjengönii

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2011
Posts
4,873
Reaction score
1,221
Baaada ya kumaliza Likizo yangu niliyopewa kwa uonevu,sasa nimerudi kwa nguvu mpya,Mlo mpya,kushiba kule kule....
 
jamani shemeji la ukweli umerudi tulikumiss yaani sister alikonda kwa mawazo nikaanza ratiba ya uji wa ulezi lol....
 
Nimefika salama kijijin,nilipelekwa gereza la mbali,mic u chana chana,wapi madame b,ever,rutta,st paka mweusi etc..

Waooooo!!
Waooooo!!
Shemeji yangu jamani,
pole sana kwa suluba za gerezani.
Ila ukupigao ndio ukufunzao.
Nilikumisije jamani shemu langu!!
Unasalimiwa na ruttashobolwa wangu.
Japo kuna Arushaone nae.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom