Siku ya wanyama...

Watu8

Platinum Member
Feb 19, 2010
70,954
93,931
Leo ni siku ya wanyama duniani, hapa nchini Tanzania maadhimisho yake yalianza jana hapo Taifa kwa MNYAMA kushikwa sharubu...almanusura achinjwe!
 
Kuleni nyama jamani si mnajua na sisi ni social animals? Basi kuleni nyama achaneni na 'MNYAMA'.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom