Nilipomtembelea Mdada wa JF nikakutana na huu ujumbe...!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nilipomtembelea Mdada wa JF nikakutana na huu ujumbe...!!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Katavi, Oct 3, 2012.

 1. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #1
  Oct 3, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Nilipomuuliza anamaanisha nini akasema kuna mashosti wake wanammezea mate wa ubavu wake, na ameona hii ndio njia nzuri yakufikisha ujumbe. Unajua ni nani......????
   

  Attached Files:

 2. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #2
  Oct 3, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  duu haya mambo ya kitambo kumbe bado wanayatumia watu duu nimekumbuka mbali sana..
   
 3. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #3
  Oct 3, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,329
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Huyo atakuwa ni marejesho!. Ofcourse amenipata kwa tabu. Lol...
   
 4. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #4
  Oct 3, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,980
  Likes Received: 6,629
  Trophy Points: 280
  "nimempata kwa tabu shikeni zenu adabu". mkuu hiyo msg ilikuwa inakuhusu. hakikisha unatulia sio unakua na macho mia mia kwa wanawake. kashakuona hujui kukataa. hahahaaa...!!. mia
   
 5. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #5
  Oct 3, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  umeona eheee...
   
 6. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #6
  Oct 3, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Ha ha ha haaaah!! Acha hizo wewe....mia.
   
 7. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #7
  Oct 3, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Jirani yangu alikula mkong'oto baada ya mumewe aliyekuwa safarini kurudi na kumkuta kavaa kanga hii 'kuliko kioze, heri nimpe jirani'
   
 8. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #8
  Oct 3, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,329
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  hata mimi ningemuacha!? Kuna ushaidi zaidi ya huo!
   
 9. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #9
  Oct 3, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,539
  Likes Received: 830
  Trophy Points: 280
  Haswaa!!Kusota kote kule,halafu waje wajichukulie tu!!Mwee,washike adabu zao!!
   
 10. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #10
  Oct 3, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  kweli mke hana umuhimu nowdays, yaani mkuu Filipo umuache mtu sababu ya maneno ya kanga?? mkuu hapo umekwenda mbali! lol
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #11
  Oct 3, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Hata mimi ningekuwa na wasiwasi lakini nisingempa mkong'oto wala kumuacha.
   
 12. Bavaria

  Bavaria JF-Expert Member

  #12
  Oct 3, 2012
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 44,102
  Likes Received: 11,254
  Trophy Points: 280
  hahahaha
   
 13. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #13
  Oct 3, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  hahahaa.......huyo mke hajahusu uswahilini kweli huyo? Lol
   
 14. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #14
  Oct 3, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Kumbe kimodo upo!
  Shkamoo.
   
 15. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #15
  Oct 3, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  Marahaba kijana mtiifu! Nipo sana tu japo visiku vichache vilivyopita almanusura wanigonge na bajaji la mizigo pale buzuruga......khaa nilihisi uteras imenyofoka!! Lol
   
 16. Jiwe Linaloishi

  Jiwe Linaloishi JF-Expert Member

  #16
  Oct 3, 2012
  Joined: May 24, 2008
  Messages: 3,736
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  hahahahaha usije kuwa ni wewe..... unasingizia jirani....... ila leo umenifurahisha ungekuwa karibu ningekupa zawadi...
   
 17. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #17
  Oct 3, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,329
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Na adabu ziwashike! Lol...
   
 18. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #18
  Oct 3, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,329
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Maneno ya namna hiyo kunivalia mimi ni problem! Mbona anaweza kunivalia iliyoandikwa "nakupenda mpenzi, katu sintokuwacha!" Hiyo akinivalia ujue kanichoka na dawa ni kumtimua tu!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 19. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #19
  Oct 3, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,517
  Likes Received: 2,261
  Trophy Points: 280
  sasa ndo hadi unifungulie uzi? Na wewe pia ushike adabu, tangazo linahuuu
   
 20. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #20
  Oct 3, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...