JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Wajumbe hv ni nani aliyetangaza kama mi ndo niloleta rick rossy bongo yani mmenikera sana nilikuwa na mpango wa kuwaleta cash money wote ıla ctaweleta mmekera sana wengine rozyy aliondoka...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nitamu sana pindi ukiipata, ila kuipata kwake ufanye kazi ya ziada kweli kweli 1. Kuipata ni shida maana ni tamu thanaaaaa 2. Unapaswa uwe na maneno matamu yenye ushawishi 3. Uwe mvumilivu na...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Mtu kafa kwenye fumanizi, au kauliwa na wananchi wenye hasira kali alipokiwa akivunja nyumba, lakini atapambwa huyo, na hutousikia uovu wake. Why?????
0 Reactions
61 Replies
4K Views
Kwamba hatimaye nimeweza kuweka post yangu ya kwanza ndani ya chit-chat. Wewe post yako ya kwanza chit-chat uliiweka lini?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
ndan ya mel watu wa makabila tofaut walikua na mizigo mel ililemewa ikabidi kila mtu apunguze mzigo.Mzungu aka2pa computer akasema kwe2 zipo tele,mchina akatupa simu akasema kwetu hizi zipo,mmasai...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Msaada wa mawazo, maelekezo, maoni na ushauri nitauzingatia, kwanisijawahi kupanda treni; tangu niletwe kwa msaada wa mola hapa Tanzania; Nina umri wa miaka 28 Tanzania tangu uhuru 51. Vyombo vya...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Utasikia naenda au nahamia 'mkoani' ivi ni wapi huko?! Hii dharau inatokana na nini? Dar sio mkoa? Kama ishu ni jiji, mbona hata mkiwa mnaenda Tanga, Mwanza na Arusha mnasema mkoani?! Hii...
3 Reactions
54 Replies
4K Views
Katika mtihani wa NECTA mwanafunzi alionekana kaachia kiti na meza na kuketi chini.Msimamizi wa mtihani akaenda na kumuuliza yule denti mbona hufanyi mtihani wako juu ya meza? Kwa mshangao dogo...
0 Reactions
20 Replies
6K Views
Simu inaita saa mbili asubuhi mwanawani, jamaa hajarudi home toka jana, waifu on ze line. Ringitoni, sumu ya teja ukonga keko segerea, ah sumu ya teja sumu ya teja. Jamaa anaamua kupokea...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ingekuwaje kila unapomsaliti mpenzi wako jino linatoka kudadadadeki,teh teh teh teh saa hizi ungekuwa kibogoyo ndugu yangu.Mipengo&fizi nje nje!
1 Reactions
6 Replies
1K Views
1. Mchagua jembe si mkulima 2. Mchagua gari si msafiri 3. Mchagua........... endeleaaaaaaaaaa
0 Reactions
4 Replies
1K Views
This is a warning. Never force children to pray. At dinner, a little boy was forced to lead the family into prayer... Little Boy : But i don’t know how to pray Dad- Just pray for your family...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Denti mmoja mkoani tanga amempiga biti DC baada ya kumtamkia kuwa endambo atamfu alie mpa mimba atajiua mbele yake..source magazetini
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Kauawa Kamanda baro hamjajadili wala kulaani! Kachinjwa Pc Saidi Z,bar hamkujadili wala nini ila akifa mtu mwingine ni mi thread kibaaaao! hivi hao walonyang'anywa uhai wao je?!
0 Reactions
46 Replies
3K Views
MEN CAN'T WIN ... If you work too hard, there is never any time for her. If you don't work enough, you're a good-for-nothing bum. If she has a boring repetitive job with low pay, this is...
0 Reactions
0 Replies
874 Views
Photos by C6 kwa ruhusa ya mzee Mtambuzi (mwenye suti)
9 Reactions
36 Replies
3K Views
Jamaa alienda kuposa kwa Mzee Mmoja. Mzee: Yaani ww umekuja Kuposa huku Unatafuna BigG? Si dharau hiyo! Jamaa: Natoa harufu ya sigara. Mzee:Unasemaje? Unavuta sigara pia!? Jamaa...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Kule japan ambapo ndio kuna viwanda mbona sikusikia kuna foleni ya magari kama huku kwetu Bongo au Wajapan hawa uwez wa kununua magari huko kwao?
0 Reactions
10 Replies
2K Views
0 Reactions
22 Replies
3K Views
naomba niwakabizi zawadi zenu wana chitchat zingine zinakuja
4 Reactions
83 Replies
5K Views
Back
Top Bottom