Baba V
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 19,485
- 9,515
Jamaa alienda kuposa kwa Mzee Mmoja.
Mzee: Yaani ww umekuja Kuposa huku Unatafuna BigG? Si dharau hiyo!
Jamaa: Natoa harufu ya sigara.
Mzee:Unasemaje? Unavuta sigara pia!?
Jamaa: Nikitoka klabu kulewa ndo huwa Navuta.
Mzee: Tobaa! Unalewaga pia!?
Jamaa: Nilianza kulewa Nilipokuwa jela.
Mzee:Yaani na kufungwa pia umeshawahi!?
Jamaa: Ah si niliua Mtu.
Mzeeuh kumbe wewe muuaji!? Astaghafillulah.
Jamaa: Si kuna Mzee mmoja ***** nilitaka Kumposa mwanae akanikatalia, mimi nikamuulia mbali.
Mzee: Karibu baba, unataka harusi lini? Mimi sina tabu, mke tu umepata! Mkeo huyu hapa wakwako baba!! Duu!