Ulimi

KARIA

JF-Expert Member
Jan 15, 2011
717
472
download
 
Ulimi hauna mfupa lakini una uwezo wa kuvunja moyo! Na ni kiungo kidogo mwilini ila habari yake kubwa mno!
 
Unapenda sana kuonja! na ulivyo na tabia mbaya mara nyingine huonja hata sehemu zisizotakiwa kuonjwa!
 
naupenda ulimi nikila vyuku na vitu vitamutamu,nikila makande au dawa natamani yapite directly tumboni.
 
Tongue

Kuna jamaa tulikuwa tunacheza naye Mpira akiitwa jakopa akikimbia huku anahema kwa nguvu akiwa mbali anakuja upande wako unaweza sema jamaa anacheza mpira huku kavaa tai nyekundu ... kwa jinsi ulimi wake ulivyo mrefu..kama wa mbwa wa kizungu German Sheppard
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom