mbona ulimpiga picha kwa uoga namna hiyo?alikuwa hataki?ilitakiwa umchape BCU (big close up)ili "Tumtambue" vizuri.oa
mbona ulimpiga picha kwa uoga namna hiyo?alikuwa hataki?ilitakiwa umchape BCU (big close up)ili "Tumtambue" vizuri.oa
kadoda11 na Young Master si unajua tena mie photografa profesheno...
zingine hazifai chit-chat
uwiiiiiiiiiiiiiiiiii :A S 109:zako ntatupia soon... kaa chonjo
yaani hapo mi nimejua tu kuwa tumeuziwa mbuzi kwa gunia, lol!kadoda11 na Young Master si unajua tena mie photografa profesheno...
au nikufanyie feva nikudownlodie? unaweza kuta zimefutwa mamitoduh,itabidi kesho usubuhi nivamie net café ili nipate kumuona mzee Mtambuzi