Hebu wana Jf tuache unafiki!

Ralphryder

JF-Expert Member
Nov 16, 2011
4,933
1,294
Kauawa Kamanda baro hamjajadili wala kulaani! Kachinjwa Pc Saidi Z,bar hamkujadili wala nini ila akifa mtu mwingine ni mi thread kibaaaao! hivi hao walonyang'anywa uhai wao je?!
 
Huku sisi tuna jadili wapendanao tu! Hutupendi harufu ya damu huu mtaa! Tafadhali naomba ulete cv zako ukaguliwe!
 
Si ndo hapo shost?
Yaani watu wengine wamekalia ulalamishi tu!

Mh! haya bana ngoja nijiondokee jukwaani maana ishakuwa tabu! mara choo
cha kike mara mgeni! wakati Kaptain Komba aliimba mgeni ni ngoma!
asanteni kwa kunizodoa! mna maneno kama wazaramu!lo yani wazaramu
walimkamata mwizi,hawakumgusa wala nini walimweka chini wakamsema weeee!
hadi akafa! kwa herini!
 
umepotea njia moja kwa moja,
huku ni kijiji kingine hayo mambo hayaingizwi humu kabisa,
jaribu hapo juu mtaa wa saba utakutana nao.
Kauawa Kamanda baro hamjajadili wala kulaani! Kachinjwa Pc Saidi Z,bar hamkujadili wala nini ila akifa mtu mwingine ni mi thread kibaaaao! hivi hao walonyang'anywa uhai wao je?!
 
Mh! haya bana ngoja nijiondokee jukwaani maana ishakuwa tabu! mara choo
cha kike mara mgeni! wakati Kaptain Komba aliimba mgeni ni ngoma!
asanteni kwa kunizodoa! mna maneno kama wazaramu!lo yani wazaramu
walimkamata mwizi,hawakumgusa wala nini walimweka chini wakamsema weeee!
hadi akafa! kwa herini!

Hahahaaaa...siku nyingine uwe na adabu!
 
Mh! haya bana ngoja nijiondokee jukwaani maana ishakuwa tabu! mara choo
cha kike mara mgeni! wakati Kaptain Komba aliimba mgeni ni ngoma!
asanteni kwa kunizodoa! mna maneno kama wazaramu!lo yani wazaramu
walimkamata mwizi,hawakumgusa wala nini walimweka chini wakamsema weeee!
hadi akafa! kwa herini!

Tena wasalimie huko uendako.
Waambie kule Ngozi Imewambiwa Ngoma..!!!
Na Mbuzi Kala Mkeka,basi ni Heka heka.....!!!
 
Back
Top Bottom