ukimfunga alie nipa mimba najiua mbele yako

Crashwise

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
22,227
8,735
Denti mmoja mkoani tanga amempiga biti DC baada ya kumtamkia kuwa endambo atamfu alie mpa mimba atajiua mbele yake..source magazetini
 
Denti mmoja mkoani tanga amempiga biti DC baada ya kumtamkia kuwa endambo atamfu alie mpa mimba atajiua mbele yake..source magazetini

Hatakuwa wa kwanza yeye kusema hivyo ila mwisho wa siku lazma sheria ifuate mkondo wake
 
Ni changamoto kali! Nadhani hapo ni mtihani ndio sababu hata Dc hakujibu chochote.
 
Kizazi cha nyoka

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
wawekwe ndani wote ili ajue uchungu wa selo
akitoka hapo habari za kujiua hakuna tena
 
Natumia mchina ndomana nimeshindwa kukupa like,
yaani hapo ni kuwatia wote lupango, mpuuzi kweli huyo binti. Akili za form 3B zinamzingua.


dont you worry ...thanks
Binti anashangaza kweli hapo akianza kuhangaika na mtoto ataona kama jamaa atatokea
 
Back
Top Bottom