Huyu manzi wa JF niliyempata ana wivu ajabu mpaka najilaumu kwa nini nilimfahamu. Kanipiga mkwara nisiingie Chit Chat kwa kuwa eti kuna wajanja wengi watanifundisha uhuni. Na pia kuna warembo...
Wapendwa,Nimeona nichukue nafasi hii,kuwataarifu kwamba natoka nje ya JIJI kidogo!!Natoka kwenye JIJI nakwenda JIJI lingine(DAR)!!
Filipo my hubby,be good,I will miss you sana Erickb52 Arushaone...
mi simuamini Ruhazwe JR, nakata rufaa ya matokeo ya ms. chitchat. charminglady alistahili kutwaa taji ila bwana Lundenga kwa maslahi yake binafsi kaamua kumpa mtu mwingine,
iundwe tume...
Nashukuru wana chit chat wote kwa kura yenu nusu fainal.nawaomba tujumuike kwenye hii awamu ya mwisho ili tuweze kushinda, mamito@snowhite Madame B Kipipi...
Imekuwa si jambo la kushtua wala kustaajabisha pale inaposikika mtu anasema kuwa anachukia kitu flani katika mwili wake. Wapo wanaochukia matiti yao, wapo wanaochukia vichogo vyao, wapo...
Kwanza niashukuru wote waliojitokeza kupiga kura,walioshiriki,na hasa wale walio piga kura kwa kuzingatia mashart kwa nia njema hadi kumaliza zoezi hili
utakumbuka tulikua na mchakato wa...
jamaa alisafiri kwenda marekani kufika tu akamtumia msg mkewe is very wonderful i wish you were here, kumbe katika kutuma akafuta ile herufi ya mwisho bahati mbaya! msg ikaenda hivi :is very...
MSANII wa ngoma ya Bwashee, Baby J, amedai kuwa wanaume wengi wa Tanzania Bara si wapendaji bali wengi ni wale wanaotaka kumchezea mwanamke na mwisho wa siku wanamtema tofauti na wanaume wa...
Wanajamvi,
Kuna Ndugu yangu ambaye anasema amefanya utafiti na majaribio mara nyingi, hadi amefikia conclusion kuwa ukiongea kwenye Mobile phone na wana-nasaba wako kwa KILUGHA huwa charge yake...
Napenda kuthibitisha kupokea zawadi. Nawashukuru wote walionisupport nawapenda sana nathamini mchango wenu bila kura zenu nisingeweza kupata nafasi hii. Nawapenda sana
Mvua iliyonyesha usiku wa kuamkia leo majira ya saa tano hadi asubuhi imewasababishi usumbufu wakazi wengi wa jiji hili. Wapo ambao hawakulala wakishindana na maji ya mvua. Yanaingia ndani, wao...
Jamaa alishtakiwa kwa kosa la "Ushoga".
HAKIMU-Kwanini unajihusisha na tabia ya "Ushoga"?.
MTUHUMIWA-Samahani hakimu,Sikujuwa kama mku*d* ni mali ya Serikali
wasalam
Baada ya kumaliza nusu fainaly,tunaingia katika hatua nyingine ya kumsaka mshindi wa kwanza amabye atakua Miss Chitchat na kuibuka na muda wa maongezi wa Tsh 7,000/= .Pia Mshindi wa pili...
Jana wakati wanakula walianza kama
hv...
Wenje: Mwongozo wa Mwenye Hotel,
chumvi haitoshi. Mnyika: Taarifa Mheshimiwa., Mchuzi
unaonekana wa Jana siungi Mkono
Hoja ya Kulipia Chakula hiki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.