JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Ndugu wana-jamvi Hii inaniumiza kichwa naombeni mnisaidie kujua rangi ya pundamilia, Je Pundamilia ni mweusi ana mistari myeupe au ni mweupe ana mistari myeusi.Nawasilisha
1 Reactions
29 Replies
5K Views
Hebu makinika nami mchana huu . Namuongelea Samaki . Samaki kama ilivyo ada , maeneo tajwa hapo juu ndivyo yalivyogawanyika aidha katika tumlavyo kila mtu ana maeneo shoboko , namna apendavyo...
0 Reactions
49 Replies
5K Views
mie naenda mwanza kwa mama kijacho
0 Reactions
1 Replies
658 Views
Sijawahi ingia Lock up na umri huu.Bt leo nimeonja joto la jiwe.Duu,mapolisi wana kieleele,Ogopa.Halafu,naona utaratibu kuingia cyo fair kabisa.Omba sana us3
0 Reactions
7 Replies
1K Views
mpigie kura charminglady achukue taji la miss chitchat. kupiga kura yako, 1. nenda uzi huu...
0 Reactions
3 Replies
819 Views
Kutokana na ushindani uliopo hivi sasa;nimekuja kivingine kabisa.Nitagawa hizi noti kwa yeyote ambaye yuko tayari kuungana na mimi atapata huu mzigo.Na utakusaidia kuboresha maisha yako ya sasa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kinyozi mmoja alikuwa ananyoa kwenye Saloon yake iliyokuwa floor ya 1 kwenye jengo husika. Baada ya muda akahama na kwenda ground floor. Kufuatia kuhama kwake akaamua kubandika tangazo kule...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Mbona sikuoni ukipiga kampeni??ukweli mimi binafsi nakukubali sana japo nikiulizwa why siwezi kuwa na jibu. Nilipoingia humu nimeona wenzako wakipost thread za kujikampenia, nikapitisha macho...
1 Reactions
29 Replies
2K Views
.... It was about 12.00 noon, which is supposed to be lunch hour, when about five, charming armed robbers, visited one of the banks in Arusha town. The smiling thugs greeted every customer with...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Je huna ndugu yeyote aliyepanda treni ya Mwakyembe leo? inasemekana kwamba dereva wa hiyo treni kajisahau alijua ni LONG trip, SASA Hivi ndo wako Makambaku wanarudi tena Dar:bange::violin::israel:
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kweli kifo kinaogopwa Jamaa aliingia msikitini kwa kasi na panga mkononi huku jasho likimtoka, akauliza nani muislamu humu ndani? waumini wote kimya... jamaa akauliza tena, nani muislamu humu...
2 Reactions
10 Replies
4K Views
Mimi binafsi lazima ntaingia mtaani kuandamana iwapo serikali itaendelea na wazo lake la fao la mifuko ya hifadhi ya jamii kutotoa mpaka nifike miaka 55 wakati mm mwenyewe sina mpango huo?? Sent...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Mwe, mwenzenu mie sikuwapo mahala hapa kwa miezi kadhaa, leo kuingia tu humu Chirt Chat nakutana na watu wapya kibaao, hata siwafahamu mie, basi kama isingekuwa kumuona Bishanga, wallaahi...
14 Reactions
133 Replies
7K Views
Peopleeeeeeeeeesss Waukweeeeeeeeee!!!!!!! Kama kawa kama dawa TUMETISHAAAAAAAAAAAA!!!!! Sasa ni KUSEAL THE DEAL TUUUUUU!!!!!!!!!! PATI LA KUSHEREKEA UBINGWA MSIPIMEEEEEEEEE!!!!!!!!!! THE DREAM...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
nakaa kigogo kwa nyuma- nakalia kigogo kwa nyuma ndio kwetu pale, Nimekuta hayupo-nimemkuta hayupo maji yameenda kuletwa- maji yanaletwa
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Huu usafiri wa daladala ni too much usumbufu, yaani mtu unakaa kwenye siti halafu yule aliyesimama anakuletea makalio yake karibu na pua kwa kweli inakera sana
3 Reactions
41 Replies
4K Views
Cheki wanaume tunavyotongoza huku kwenye ma-bar sababu ya MIBIA...............!! Hahahahaha.........................!!
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Jamaa mmoja alikuwa gesti na demu mmoja,,asubuhi kulipopambazuka kukatokea ugomvi mkubwa baina yao.Mazungumzo yalikuwa hivi: Demu:Naomba hela yangu Jamaa:Hela ya nini? Demu:Unadhani umepata...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Katika uzi wenye jina 'Wanawake muwe na aibu' wa Jamii01,nilitamka maneno ambayo si ya kawaida kwa umri wangu. Ukaninukuu na kuniuliza swali la kuchoma sana moyo wangu.Ukasema:uuuuuuuwhi,ni wewe...
1 Reactions
89 Replies
5K Views
Back
Top Bottom