Nimezuia kuingia Chit Chat....!

Nimezuia kuingia Chit Chat....!

Katavi

Platinum Member
Joined
Aug 31, 2009
Posts
42,099
Reaction score
12,932
Huyu manzi wa JF niliyempata ana wivu ajabu mpaka najilaumu kwa nini nilimfahamu. Kanipiga mkwara nisiingie Chit Chat kwa kuwa eti kuna wajanja wengi watanifundisha uhuni. Na pia kuna warembo watasababisha nimpige chini..........napita jamani msiponiona nipo kule kwa wageni. SIKU NJEMA.
 
Upeo wake mdogo kwahal hiyo sidhan kama ana vision na strategies na kuweza kuleta positive changes in ur future lives!
 
Huyu manzi wa JF niliyempata ana wivu ajabu mpaka najilaumu kwa nini nilimfahamu. Kanipiga mkwara nisiingie Chit Chat kwa kuwa eti kuna wajanja wengi watanifundisha uhuni. Na pia kuna warembo watasababisha nimpige chini..........napita jamani msiponiona nipo kule kwa wageni. SIKU NJEMA.

Kweli penzi kitovu cha uzembe, umekubali kirahisi hivyo
 
No sijasema umpige chini ila ufahamu yuko hivyo na ujiandae kwa lolote in the near future!anawaonea wivu watu asowajua wala kuwaona akiwaona je si atakuzuia kuingia JF mazima!!
Umeona eeh! Nampiga chini sasa hivi asije akanigeuza Bushoke.
 
Huyu manzi wa JF niliyempata ana wivu ajabu mpaka najilaumu kwa nini nilimfahamu. Kanipiga mkwara nisiingie Chit Chat kwa kuwa eti kuna wajanja wengi watanifundisha uhuni. Na pia kuna warembo watasababisha nimpige chini..........napita jamani msiponiona nipo kule kwa wageni. SIKU NJEMA.

...Tulizana..wewe. Katavi
 
Last edited by a moderator:
We Katavi acha longolongo bhana sema mgangio kakukanya kuja huku utaharibu dawa. Huoni mwenzako Bishanga uliyempelekamo kule ufipani naye kaja hapa juzi kwa gia hiyohiyo eti Kongosho kamnyima akija Chitchat...Janja ya nyani kwisha jua.
Labda huyu manzi ndiye kampa pia Bishanga masharti haya.
 
Last edited by a moderator:
Kwani kati ya wewe na yeye nani overall inchurge ?
Ocd anampangia Rpc majukumu!
Inayumkini ?
Labda!.

Siku hizi 50/50 Judgement,umeshawahi kusikia Gender equity and equality?
 
Ndo matatizo ya kuingia kichwa kichwa na kukwapua mdemu.........ona sasa
 
huyo manzi umemuibua mitaa gani? mbona hajiamini hivyo!!!
 
Huyu manzi wa JF niliyempata ana wivu ajabu mpaka najilaumu kwa nini nilimfahamu. Kanipiga mkwara nisiingie Chit Chat kwa kuwa eti kuna wajanja wengi watanifundisha uhuni. Na pia kuna warembo watasababisha nimpige chini..........napita jamani msiponiona nipo kule kwa wageni. SIKU NJEMA.

anafikra mgando ndo kifaa ulichokiibua ntwara nini
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom